Ni mara ngapi tunaombea wenza au wachumba wetu?

Parata

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2011
Posts
3,090
Reaction score
692
Naamini watu wengi humu wana imani zao na wanaamini katika uwepo wa Mungu

Embu tujiulize na kujihoji ni mara ngapi tumetenga muda kuombea wake zetu watarajiwa na kwa wanawake wanaume wenu watarajiwa?Biblia inasema apataye mke amepata kibali sasa kama mke wako umempata kwa macho ya nyama kweli itakua kibali au laana!

Vijana wengi tunatumia macho ya nje kupata mke njia hii sio sahihi hata kidogo lazima tumwombe Mungu kama tnaitaji ndoa zenye mafanikio.una mke na hujawahi kumwombea ulinzi wa Mungu hata siku moja,hapo utaishia kuibiwa na ndoa kugeuka ndoano.Ifike wakati tumshirikishe Mungu katika mahusiano yetu.

Sam Love*mcatalunya*
 
mi ndo nina mchumba, nadhani imenifunza, ntaanza kumwombea malikia wangu miss neddy!

ahsante kwa kunifunza hilo....
 
Tunajisahau sana unajua ndoa haiendeshwi kwa hakili za kibinadamu vinginevyo watu wanakimbilia kwa sangoma vitu ambavyo ni utapeli tu! Jamani biblia yenyewe inasema nume au mke atamlinda mwenzake sio kwa bunduki. Ni kwa MAOMBI TU!
 
Najitahidi kuomba mara kwa mara,ili Mungu anijalie kitu roho yangu itapenda
 
Maombi ya mwenye dhambi ni makelele na chukizo mbele za Mungu. Jisafisheni kwanza mioyo yenu ndipo muombe na hakika Mungu atasikiliza hitaji lako.Kama huwezi hata waganga pia wanasaidia
 
Kuna bidada mmoja ye huwa anamuombea mme wake asipate hela
akiwa hana hela wanakaa kwa Amani mahaba yanakuwa A
kila mahali wapo wote kama njiwa vile
jamaa akipata hela tu anamuachia mkewe kipigo afu anapotea home hadi ziishe
maombi ya hivi ni sawa???
cc baba paroko Eiyer pamoja na watumishi.....
 
Last edited by a moderator:

weka picha..! lol!
 
Sio sawa!
 
Me namuombeaga ila akiniudhi hua nakereka na kujiuliza ivi kwann nilimuombea..!najua n kitu kibaya ila Mungu anisaidie
 
imekaa vzuri kuwaombea wpenz wetu ni muhmu sema tuajisahau tuu.
 
mwanangu umesema vyema sana yaani katika uzi zako
unazoleta mjengoni humu hii nimeipa NUMBER 1
asante kwa kuwakumbusha vijana wawe wanaombe familia zao

Naamini watu wengi humu wana imani zao na wanaamini katika uwepo wa Mungu

Embu tujiulize na kujihoji ni mara ngapi tumetenga muda kuombea wake zetu watarajiwa na kwa wanawake wanaume wenu watarajiwa?Biblia inasema apataye mke amepata kibali sasa kama mke wako umempata kwa macho ya nyama kweli itakua kibali au laana!

Vijana wengi tunatumia macho ya nje kupata mke njia hii sio sahihi hata kidogo lazima tumwombe Mungu kama tnaitaji ndoa zenye mafanikio.una mke na hujawahi kumwombea ulinzi wa Mungu hata siku moja,hapo utaishia kuibiwa na ndoa kugeuka ndoano.Ifike wakati tumshirikishe Mungu katika mahusiano yetu.

Sam Love*mcatalunya*
 
sio rahisi sana ila ni muhimu, imagine unakunja goti kumuombea mchumba weeee anafanikiwa halafu anakupiga chini, kuombea mume au mke mtarajiwa inabidi ujipangwe haswaa
 
mi ndo nina mchumba, nadhani imenifunza, ntaanza kumwombea malikia wangu miss neddy!

ahsante kwa kunifunza hilo....

umeona eeeeh tuwe tunaombena KING excel
mungu atuwekeee ulinzi wa kuepuka michepuko
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom