Ni mafanikio gani ambayo umeyapata kupitia mwanamke?

Ni mafanikio gani ambayo umeyapata kupitia mwanamke?

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Wakuu

Kumekuwa msemo huu maarufu wa Wahenga unaosema kwamba kila mwanaume aliyefanikiwa mara nyingi amekuwa na msaada, moyo, au ushawishi wa mwanamke nyuma yake. hata sijawahikujua una maana gani hasa?

Inaashiria umuhimu wa wanawake katika maisha ya kila mmoja, hasa katika familia, biashara, na jamii, na jinsi mchango wao mara nyingi hauonekani hadharani lakini ni muhimu sana.

Je, ni mafanikio gani ambayo umeyapata kupitia mwanamke?
 
Hamna faida yoyote zaid ni hasara tu.
Ujue ukioa mwanamke anakuja kutafuna ulichonacho.
Sasa ukiwa nacho kidogo akatafuna ukaishiwa utaachwa kweupe, anaenda kule vipo.

Vijana/wanaume tutafteni hela/vyanzo nyingi ata akija kutafuna asizimalize
 
Wakuu

Kumekuwa methali maarufu inayosema kwamba kila mwanaume aliyefanikiwa mara nyingi amekuwa na msaada, moyo, au ushawishi wa mwanamke nyuma yake.

Inaashiria umuhimu wa wanawake katika maisha ya kila mmoja, hasa katika familia, biashara, na jamii, na jinsi mchango wao mara nyingi hauonekani hadharani lakini ni muhimu sana.

Je, ni mafanikio gani ambayo umeyapata kupitia mwanamke?

Mimi Binafsi zaidi ya hao watoto, kiuchumi sijasonga mbele Bora hata ningekuwa single bila watoto
 
Mafanikio ya ni kubadirisha nyumba yangu kutoka kuwa pango la kwenda kulaza fuvu usiku tu ( geto) kuwa home. Atleast sasa hivi nami nina somewhere i call home na ninaweza hata kukaribisha wageni. Pia nimpe credit ndiye alinipa hamasa kununua ardhi na kuanza kujenga.
 
Ndoa Ina hasara tu, nazo ni:-
1. Kutwishwa zigo la kifedha (financial burden)
2. Kukosa uhuru binafsi.
3. Sonona na kukosa usingizi.
4. Kuota kitambi kwasabb ya kula chakula duni, mfano wali na maharage, chai na maandazi, ugali na dagaa, n.k
 
hakuna mafanikio unayoweza kuyapata kupitia mwanamke zaidi ya kupunguza life span.
Hata wewe😊😊

Nasoma comment mpaka saa sita na dakika 48. Kataa ndoa wanaongoza chuma 5 kwa BILA.

Binafsi kwenye ndoa yangu naona mengi mazuri mazuri binafsi Mimi nilipata mke sio mwanamke.

Anniversary nyingi nyingi KWETU.
 
Nyie ndo mnachapiwaga na bodaboda kimya kimya ukija kustuka watoto wote sio wako, mnajiua
 
Wakuu

Kumekuwa msemo huu maarufu wa Wahenga unaosema kwamba kila mwanaume aliyefanikiwa mara nyingi amekuwa na msaada, moyo, au ushawishi wa mwanamke nyuma yake. hata sijawahikujua una maana gani hasa?

Inaashiria umuhimu wa wanawake katika maisha ya kila mmoja, hasa katika familia, biashara, na jamii, na jinsi mchango wao mara nyingi hauonekani hadharani lakini ni muhimu sana.

Je, ni mafanikio gani ambayo umeyapata kupitia mwanamke?
O IQ atakuambia kuchakata mbususu,Mushambwa atakuambia anaupigamwingi mtu wao,Stunex atakuambia ni kuuwawa kwa watanganyika kwa kudai haki zao,chawa watakuambia ni kuwafunga na kuwateka chadema watetezi wa mtanzania na tanganyika.Waweza toa mapovu ya nyoongeza nipo tayari!
 
Mwanamke ndoa kwake ni maono, mwanaume ndoa kwake ni part ya maisha yake na sio maono.

Mwanaume anaweza akatimiza wajibu wake 100% pasipo mwanamke ila mwanamke wajibu wake hapa duniani ni kuja kumsaidia mwanaume, hiyo kwake ni vision.

So mwanamke sababu yake ya kusastain duniani ni kusimama katika ile vision aliyopewa kwa mwanaume, ndio maana mwanamke aliumbwa kutoka katika ule ubavu wa mwanaume kabisa.

Mwanaume alikuja duniani na kutimiza majukumu yake vizuri kabisa, mwanamke kaja duniani kwa kusudi moja tu, kusimama upande wa mwanamke wake.

Shetani kageuza kaugeza haya, leo hii eti mwanaume bila mwanamke si kitu.
 
Back
Top Bottom