Ni maeneo gani mazuri kwa kustarehe wilayani Kyela?

Huko kwa mwamnyange n full vumbi yani..bora matema beach kuna lami sa hv barabara ya ipinda...ukiona bata halikupi raha(coz kamji ni kadogo) washa chombo nenda Tukuyu ukapigwe na AC ya asili huku ukijiburudisha na maziwa ya mtindi OG yasiyokuwa na hata tone la maji mkuu
 
Habari JF,

Niko Mbeya Kyela mpakani mwa Tanzania na Malawi.

Nimekuja kikazi ila ningependa kutalii kidogo.

Wenyeji au mliowahi fika hii wilaya hebu nitajieni maeneo ya starehe.

#viwanja vikali
#sehemu zinazovutia kwa kutalii
#mengineyo
matema
 
Kwa kiwanja cha kutulia huku ukipiga ulabu basi sehemu sahihi ni 47 yaani we ulizia boda akupeleke FOURTY SEVEN kuna garden taamu saana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom