Naomba kujuzwa taratibu za kufanya biashara maeneo ya Mbezi Mwisho

M naishi kibamba sitaki kwenda mbali sana kwaajili ya kusave gharama za nauli au hata kuna sehem nyingine iyochangamka unaweza npa idea.
 
Nenda huko mbezi mwisho kafanye research yako utapata kwa kuanzia
 
Kariakoo utaratibu upoje maana kule kwa wingi wa watu mzunguko wa biashara upo.
Sema tu umesema unataka sehemu ya karibu ila kariakoo biashara nzuri mkuu.

Pale unalipia meza kwa wenye maeneo yao ila kupitia dalali. Unataka mtaa gani?

Maana kila mtaa una bei yake? Kwenye vile vimeza?
 
Nakuchek dm ndugu
 
Naplan kufanya biashara maeneo ya Mbezi Mwisho.

Anaejua utaratibu wa kupata eneo kwaajili ya kuweka meza ya biashara hapo Mbezi naomba anielekeze.
Nenda mbez mtafte jamaa anaitwa Rasi..ndo gwiji wa pale..akupe maelekezo ila ana utapel akikuona boya..anakupa sehem ambayo keshampa mwingne...kua nae makin..ila nafasi hakuna pale..eneo la tanroads lote lile..ila watu wanaweka kibabe..siku kikinuka unaanua chako unasema kimya kimya bila malalamishi..
Enzi hzo niko bongo nilikua na vibanda hapo kama vitatu..salon ya kiume..banda la vipodoz na lingne nilipangisha mtu..ila mama alivyoingia madarakan na ile safisha jij na toa mabanda mjin ndo ikanikumba..ila nilikua taita hapo mbezi..so mwone rasi atakupa maelekezo mji unaendaje maana siko bongo mwaka wa 3 huu
 
Ok poa nashukur
 
Back
Top Bottom