Kaka za masiku kwanza? Umepotea sana wallah, mimi mzima alhamdulillah, na wewe?
Kakangu, dunia hii ni mizunguko na mihangaiko kuna walofika kuna walokatiza na kuna akina sisi ! Yote heri mkuu.... tutaonana karibuni, welcom mkuu..
Mkuu kwema lakini, karibu sana!Mhem.Utafiti wanitamanisha, baada ya kukusalimu kwema huko?
Yes kakangu, "Wane3maa biLaah"Amin kaka, ila usikubali dunia ikakufanya uwe busy sana, huu ni mtahani tu Mungu ametupa unaitwa "busy" ila tusimsahau yeye....
Mkuu kwema lakini, karibu sana!
Mhem.Utafiti wanitamanisha, baada ya kukusalimu kwema huko?
Dadangu nipo hai kukimbizana na riziki ! Dua3'a zenu msitusahau.Ulikua wapi habiby?......
Dadangu nipo hai kukimbizana na riziki ! Dua3'a zenu msitusahau.
Kina mama vijacho wakiona hii midomo inawajaa mate
Hahahhaha nakwambia wee acha tu
Allahu -YesallimKum wa YeHfadhakum kweli udugu kuulizana ! Bado mapishi/maakulati yaendelea?InshaAllah kheir pole sana nimekumiss na Mrs Kharusy aliwahi kukuulizia mana ulikua huonekani