Ni lunch ya mtu hii!!!

Ni lunch ya mtu hii!!!

We Asprin eti nasikia ndio lunch yako hiyo, duuuu mbona ni shida.
 
Last edited by a moderator:
Acha tu mkuu nimefurahi sana kuona uwepo wako, kubwa zaidi ni kuMshukuru anayetupa huu uhai na kusababisha kuonana tena kupitia nyumba hii.
Shukrani na sifa zote zinatangulia kwa Muumba wetu, na wajaa wema kama nyie mupate himaya na kheri zake Allah subhana awaTa3alaa... AMIN tupo pamoja Mkuu Byange ubarikiwe.
 
2.jpg
Jamanii hii yaitwajee!!
 
Back
Top Bottom