Hehehehhe...dah! kwa kweli nimecheka sana mbavu sina........ dogo kaulizwa na mchumba wake, yaani mke wake mtarajiwa.......alafu mbaya zaidi kikao cha kwanza next month.
Dogo hana raha....nimejaribu kumfariji lakini naona kama hajanielewa na ninavyomfahamu dogo anaweza akampiga chini huyu mchumba alafu tukapata hasara ya mahari...bora amuweke ndani kwanza. Dah.! hiki kizazi nimekoma nacho.
Jamani wadada kuweni waangalifu na ndimi zenu hizo.