Ni lini utakua na pesa wewe...??

Ni lini utakua na pesa wewe...??

kuna ndugu yangu alikuwa anaolewa, that time ndo kwanza kamaliza chuo. namuuliza unaapply kazi lakini, ati ' nataka niolewe kwanza, nieenjoy ndoa yangu kwanza'. mara nimeona viatu vizuri mariedo ndo navitaka. mara shela sijui kwa kina nani wale wenye blogu (anawaitaga dada mange utasema ni watoto wa jirani wa babu yao, kha!). nikasema hapa ndoa hii muziki munene. sidhani kama walimaliza miaka 2 kabla ya kuachana. so demanding yaani, ukimsikia analalamika kapewa laki tatu kuandaa besdei ya mtoto ya mwaka mmoja unabaki unamuangalia tu! ptuu!


Hehehehhe...King'asti bana...
 
alitakiwa kumjibu hivi: siku nikianza ufisadi ndio nitakuwa na hela
 
Hapo anamfananisha na mwingine mwenye MAHELA tayari...angalieni msije lea mtoto si wenu bure...
 
::
aa! Imetuchosha,,
kupenda pesa
kubusu pesa
ku hug pesa
kukonyeza pesa
kutaja jina la switi pesa
Too much !!
=

Umesahau kugegeda.......nasikia sikuizi mpaka utoe kodi ya mwaka kwanza.
 
kuna ndugu yangu alikuwa anaolewa, that time ndo kwanza kamaliza chuo. namuuliza unaapply kazi lakini, ati ' nataka niolewe kwanza, nieenjoy ndoa yangu kwanza'. mara nimeona viatu vizuri mariedo ndo navitaka. mara shela sijui kwa kina nani wale wenye blogu (anawaitaga dada mange utasema ni watoto wa jirani wa babu yao, kha!). nikasema hapa ndoa hii muziki munene. sidhani kama walimaliza miaka 2 kabla ya kuachana. so demanding yaani, ukimsikia analalamika kapewa laki tatu kuandaa besdei ya mtoto ya mwaka mmoja unabaki unamuangalia tu! ptuu!
we acha tu!yani mabinti wanaolewa wakiwa na illusions nyingi sana kichwani!
sasa imagine mtu analia kwa kupewa laki 3 afanyie besidei tu yu ,wakti watu hiyo tunapigia bajeti ya mwezi msosi ndani!
acha tu!
wanponichosha ni kwamba hawataki kufanya kazi na kusubiri wapate wanaume wenye kila kitu ili iwe bien!if only wangejua raha ya kujua bei ya kilo ya misumari na mbao futi nne treated ni shng ngapi!we acha tu!
 
Mwambie dogo kutokua na pesa sio kosa, ila kumuoa demu asiye na pesa ni kosa kubwa.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Hehehehhe...dah! kwa kweli nimecheka sana mbavu sina........ dogo kaulizwa na mchumba wake, yaani mke wake mtarajiwa.......alafu mbaya zaidi kikao cha kwanza next month.
Dogo hana raha....nimejaribu kumfariji lakini naona kama hajanielewa na ninavyomfahamu dogo anaweza akampiga chini huyu mchumba alafu tukapata hasara ya mahari...bora amuweke ndani kwanza. Dah.! hiki kizazi nimekoma nacho.
Jamani wadada kuweni waangalifu na ndimi zenu hizo.

Ha ha...bora hasara ya mahari
 
Mnaulizwa "lini mtakuwa na pesa?" mnaona mmetusiwa, inashangaza

Mambo Gaijin?

Embu nitoautishie hiyo statement na 'Darling, najua huna hela saivi lakini najua utazipata tu mpenzi wangu..ninakuamini, one day yes..'

zote zina ujumbe mmoja kwamba huna hela, period!!...ila kwa hiyo ya kwanza unaachwa,..hii ya pili itamfanya arudi nyumbani saa 10 toka kazini,..awahi kukuona tu.
 
Last edited by a moderator:
Kweli??.... naona bora amuweke ndani kwanza alafu ndio aanzae kumchenchia...ugali kisamvu kwa kwenda mbele.....sasa ivi itakua noma.

Ha ha...mwanamke aliye -ve atamfanya dogo ashinde bar tu kwa stress
asee ule usemi wa behind every successful man there is a woman una ukweli..
of course..behind every loser there is a woman too!
 
Mambo Gaijin?

Embu nitoautishie hiyo statement na 'Darling, najua huna hela saivi lakini najua utazipata tu mpenzi wangu..ninakuamini, one day yes..'

zote zina ujumbe mmoja kwamba huna hela, period!!...ila kwa hiyo ya kwanza unaachwa,..hii ya pili itamfanya arudi nyumbani saa 10 toka kazini,..awahi kukuona tu.

Hata hiyo ni vile unavyoisoma tu

Mimi nimeisoma kwa sauti laini, nyororo na ya upole, sijaona dosari wala hitilafu yoyote.

Nyie inaonyesha kichwani mwenu switch za ujeuri zipo on, kwa hiyo mkasoma hivyo hivyo kijeuri jeuri tu
 
Back
Top Bottom