Ni lini utakua na pesa wewe...??

Ni lini utakua na pesa wewe...??

sasa jitu halifanyi kazi, linajulia wapi bajeti? siku hizi hanishtakii tena kuhusu mtalaka wake manake kila akilalamika namuambia endelea na vituko, akikamatwa na mashankupe ya mjini utamsikia bombani. atakuwa anakubip umuambie mwanae anaendeleaje! mie ningekuwa jobless ningekuwa mke mwema ajabu aisee. ukinipa hata tzs 100/= ntashukuruje? ntapiga goti na kukuita baba!
kama hauna hela hata mwenye sh mia tano ana hela banaaa!
we acha tu!yani mabinti wanaolewa wakiwa na illusions nyingi sana kichwani!
sasa imagine mtu analia kwa kupewa laki 3 afanyie besidei tu yu ,wakti watu hiyo tunapigia bajeti ya mwezi msosi ndani!
acha tu!
wanponichosha ni kwamba hawataki kufanya kazi na kusubiri wapate wanaume wenye kila kitu ili iwe bien!if only wangejua raha ya kujua bei ya kilo ya misumari na mbao futi nne treated ni shng ngapi!we acha tu!

[/COLOR][/B]
Hehehehhe...King'asti bana...
 
Hapo kuna mwanamke lakini hakuna mke! mzazi mwezangu alikuwa hivi hivi, anatanguliza sana pesa mbele ndio maana nikaamua mabinti ntawatunza tu mwenyewe ndoa hapana! Nilifahamu yupo hivyo toka mwanzo ni vile tu sikupanda kuzaa naye, ilikuwa ajali ila ajali mbaya na nzuri vile vile.
 
Hata hiyo ni vile unavyoisoma tu

Mimi nimeisoma kwa sauti laini, nyororo na ya upole, sijaona dosari wala hitilafu yoyote.

Nyie inaonyesha kichwani mwenu switch za ujeuri zipo on, kwa hiyo mkasoma hivyo hivyo kijeuri jeuri tu

Hata kama utaisema kwa sauti nyororo , ujue mwanaume anakwazika......unamuondolea kujiamini juu yako, anahisi labda akutimizii mahitaji yako. Na mwisho wake anaweza kufikiria kwamba humpendi na labda tayari unamtu mwingine.
 
Hapo kuna mwanamke lakini hakuna mke! mzazi mwezangu alikuwa hivi hivi, anatanguliza sana pesa mbele ndio maana nikaamua mabinti ntawatunza tu mwenyewe ndoa hapana! Nilifahamu yupo hivyo toka mwanzo ni vile tu sikupanda kuzaa naye, ilikuwa ajali ila ajali mbaya na nzuri vile vile.

Pole sana, wanawake wa siku hizi wanashauriana vibaya sana kwenye hizo kitchen party zao na viseminar wanavyo hudhuria vya haki za wanawake.....hata ukiwa na pesa ngapi hawaridhiki..... kila siku wanatamani tu. Bora umeamua kutunza watoto wako.
 
Back
Top Bottom