it is on kitchen coming! Just wait a little while!
Hamna huo ujanja kazi yenu ni kupiga domo, na kutoa visingizio kama hivyo baaasi.
nikiwa kama software developer huwa sifurahii kuiba kazi ya mtu. Watanzania huu ni ugonjwa sugu japo upo dunia yote. Hivi mtu ameajiri watu wakatengeneza kazi wanauza halafu we unachukua pirated? Kwa nini hatuheshimu kazi za watu? Mtu anatumia windows os ya wizi na ukiuliza ni blah blah nyingi. Kama huna pesa kwa nini usipakue os ambazo ni legally free? Au unaiba DW ili uonekane dev mkubwa, kwa nini usitumie free soft kama eclipse, NB et al?
Ni lini tutaanza kuheshimu software za watu? Kama unafanya hobby kwa nini usitumie foss na kama ni commercial kwa nini usiwalipe?
Tunahitaji kubadilika. No wonder waTz wengi hawatengenezi software kwa watu wa kawaida kwa kuwa wanajua wataibiwa. Tunajikosesha mengi. Fikiri Mtanzania akitengeneza office suite, itakuwa bei rahisi, lakini hawatenegenezi kwa kuwa wanaona wizi unaoendelea. Utapigaje kelele mafisadi mafisadi wakati os unayotumia umeipata kifisadi?
Zing,
developers wengi kama siyo wote wanaotaka kufanya miradi ya software wanafanya na institutions na sio persons at least to my knowledge. Ask them watakwambia nani atanunua? Akinunua mmoja wanakopi tu. Lakini makampuni yana mikataba mizuri
One of the greatest problem faced by our developers, is the notion you can lock yourself in your house and develop a software! This will never happen in a million years. Software development is a huge and very demanding venture. For instance a very small software might have involved more than 20 guys with more than 100,000 lines of code! You guys need to come together, this field has never been easy for a lone ranger. Then make sure you understand the minute details of software development. You can be very good in coding in either java,c++,C#,Delphi but that does not make you a good developer if you have no idea in Algorithm design and analysis! On top of this you must be familiar with the following six languages;
For any aspiring developer out there, that should act like your bible and you will never get it wrong, you can get into any company if you so wish or become consultant after few years of experience. By the way no university will ever teach you all that especially hapa kwetu. Please please anyone using VB 5 or 6 migrate to the .NET we longer develop stand alone application in this era everything tend to lean towards the internet!
- "Structured Programming": C, maybe Fortran if you're going to work with numerics
- Generic Programming & OO: C++
- Script Language: Python, Ruby or Perl; Matlab if you want numerics
- Heavy Object Oriented with VM: C#, Java or Smalltalk
- Functional Programming: Ocaml, Haskell, Scala
- Machine Programming: i686 Assembly
- Logic Declarative Programming: Prolog
- Database Querying Language: SQL
Hakuna market ya consumer software Tanzania, kwa sababu ya piracy na matatizo mengine.
Piracy sio sio tatizo kiasi hicho Inabidi tufike sehemu kwanza tutambue matatizo yetu binafsi kabla ya kulaumu yale ya nje. Kitu pekee cha usingizia nachoweza kukubali kama alivyosema mdau mmoja ni tatiz ni serikali na taasisi zetu kutokuw ana sera ya kutabua kuziunia software za ndani.
Toeni mfano wa software ilishdwa Tanzania sababu ya piracy au develepr ameshindwa kuiweka hewani sababu kuna piracy.
Tufike hatua kwanza tukubali kuwa na sisi weneywe tuna udhaifu kama vile
Piracy is the last thing u can blame in Tanzania Unless we are talking about entertaimnet sofware na games sofware.
- hatuna creative ideas
- Competetion of already available sofware.
- Hatuna ushirikiano na
- hatufuati Software devopment process
NDo maana nikasema hakuna market ya consumer, ya corporate ni tofauti sana ila hapo unakuwa unagongana moja kwa moja na makampuni makubwa ya Software, ambayo ni challenge kubwa nayo.Kwa hiyo kumbe tatizo ni marketing sio piracy Au marekting ndio inashindiana sababu ya piracy? Piracy Ni sabbau ndogo tena kwa sofware isyo na jina piracy inaweza kutumika kama tool ya marketting mwanzoni.
Kuhusu arround me ndio kama walivysoema jamaa tatizo kama deveoper unatangeneza software ya games an entertertaiment amabye customer ni individual na mtu moja mmoja hesabu maumivu.......
Laini kama ni enterprise software ya kutumika kwenye wizara, mikoa, idata na taaasisisi na makampuni Piracy is the last thing to fear.
Na ukisema key za crack zinazoombwa humu JF ina maana kuna mtanzania anataka kutengeza
So huyu mtanzania anashindwa akutengeza software hizo sababu tu eti ya crack na piracy. Piracy is not a problem bana tuache kudanganyana. Problem ni developer wenyewe kutouwa na strategy sahii na serikali
- antivirus software-
- OS software-
- Ms office -
Na deveoper wa Tanzania akitengeza yeye software hata kama hakuna piracy
- ataiuza kiasi gani ili ishindane na ( MS security essetial ,Open Office za bure au Ms office na karpesky zinazouzwa) na ifanikiwe
wewe bado kijana mdogo katika fani hii. Majibu yako yanaonesha hivyo.Apa akuna wasomi wote feki programing na mpaka kutengeneza software ikauzika duniani sio lele mama. Akuna udsm wala wapi,kila kitu mnadesa mpaka kwenye vitu vyenye kuitaji umakini.
zing,HT
do u mean developer
Wakiuliza nani atanunua nitawajibu kuwa success ya sofware in Tanzania Inategema among other things na aina ya sofware anyotaka kutengeza , target key market/custmer ya sofware yake. Na ni Approch gani atatumi kuitengeza na kuiwasiisha kwa stakeholders
- Wanaokimblia kufanya development za sofware fulani kama ya USA au developer waliofanya na sofware development process kwa makini huku wakizangatia Tanzania enviroment
- Developer wanaotaka kuuza software kwa individual kama zing, paulss ,kiranga( eg game) au developer amabo market ya software wanayotaka kuuza mteja mkubwa anatakiwa kuwa Wizara XYZ( eg sofware ya bajeti) hospitali HHH.
algo ni kama unaandika library ambazo zitatumia algo kama crypto++ au mysql server. Btw, well written. +1 for your postThis is almost complete BS, a Web Developer has no reason to know C,C++, Prolog, Assembly etc, as long as he has enough knowledge in a web stack e.g PHP, MySQL and a little HTML and CSS, he knows more than enough to make a great website.
The same goes for any other kind of developer, someone who develops corporate applications in .Net has no professional reason to know any low level language.
The biggest BS is that you need to understand algorithms to be a good programmer, 90%+ of programming will never involve you writing your own algorithm, only a few specialized areas of programming will require any real knowledge of algorithms.
ni tatizo kwa kuwa kama unategemea watu wanunue ndipo upate pesa na akinunua mmoja anawanakilia rafiki zake mia na kuiweka ktk p2p network then untumia resources nyingi faida kidogo. Hii ni tofauti sana na kampuni ambazo internally zina jinsi ya ku comply na supplier agreementPiracy sio sio tatizo kiasi hicho Inabidi tufike sehemu kwanza tutambue matatizo yetu binafsi kabla ya kulaumu yale ya nje. Kitu pekee cha usingizia nachoweza kukubali kama alivyosema mdau mmoja ni tatiz ni serikali na taasisi zetu kutokuw ana sera ya kutabua kuziunia software za ndani.
Toeni mfano wa software ilishdwa Tanzania sababu ya piracy au develepr ameshindwa kuiweka hewani sababu kuna piracy.
Tufike hatua kwanza tukubali kuwa na sisi weneywe tuna udhaifu kama vile
Piracy is the last thing u can blame in Tanzania Unless we are talking about entertaimnet sofware na games sofware.
- hatuna creative ideas
- Competetion of already available sofware.
- Hatuna ushirikiano na
- hatufuati Software devopment process
again well said! +1Sio sawa kusema turelease software kisha ndo uwe ushahidi kuwa kuna piracy, lazima tuiangalie market kabla ya kutumia resources bure, angalia around you asilimia ngapi ya watumiaji wa software wamezipata kihalali? Angalia humu JF ni kuomba keys na cracks tu.