Ni lini tutafika hapa?

Ni lini tutafika hapa?

Sikiliza wewe kiazi, hakuna maendeleo yanayokuja bila kupangwa na kutendewa kazi, ulivyo mburula eti unasema hata wao hawakujua Kama watafika hapo, Kwa hiyo waliamka asubuhi tu na kukuta kuna Apollo imepaki uani na kisha wakaiendesha hadi mwezini?
you're very stupid and you must be a ccm member
We pia kiazi umeona wapi raisi anaingia tu madarakani upinzani unahamasisha maandamano?huo muda wa maendeleo utatokea wapi?kwa kususa bungeni?mi sio ccm but im tellng you wenzetu wamepunguza hadi idadi ya vyama ili maendeleo yatekelezwe na kila mmoja na kwa wakati huku kwetu kila mkoa kuna chama(makadirio ya takwimu)
 
Sikiliza wewe mhogo, matusi yako hayatafanya hoja yako iwe na mashiko.....Apollo ya kwanza imerushwa mwaka gani? Na hao watu walianza kustaarabika lini?

Kila kitu ni hatua,na si kila jambo lifanywe kipindi hichi we mburula upo hapa kutukana matusi.....hata hao waliorusha Apollo leo walikuwa na watu wa aina yako ambao walikuwa hawaamini kama watafika hapo na waliishia kubeza na kutoa kashfa na kuishia kubaguana kwa vyama....

Alafu kuna nchi kibao zimeendelea na hazijawahi kurusha hizo rockets so hazina ulazima sana sio kila nchi itataka ku-explore space sasa si watakuwa wanagongana huko juu?
well said
 
Mpaka tufike huko aaa yesu atakuwa amesharudi na kuondoka..
 
Hawa walipata uhuru 1776, kwa hiyo wana miaka 240 ya kujitawala. Wao wako menopause, sisi tuko puberty. Usijali tutafika tu.
 
We pia kiazi umeona wapi raisi anaingia tu madarakani upinzani unahamasisha maandamano?huo muda wa maendeleo utatokea wapi?kwa kususa bungeni?mi sio ccm but im tellng you wenzetu wamepunguza hadi idadi ya vyama ili maendeleo yatekelezwe na kila mmoja na kwa wakati huku kwetu kila mkoa kuna chama(makadirio ya takwimu)
We pia kiazi umeona wapi raisi anaingia tu madarakani upinzani unahamasisha maandamano?huo muda wa maendeleo utatokea wapi?kwa kususa bungeni?mi sio ccm but im tellng you wenzetu wamepunguza hadi idadi ya vyama ili maendeleo yatekelezwe na kila mmoja na kwa wakati huku kwetu kila mkoa kuna chama(makadirio ya takwimu)
Maandamano yanazuiaje maendeleo? miaka 54 ya uhuru nchi imewashinda .
-Elimu duni
-Afya duni
-Viwanda 450 mmeua
-Dhahabu na wanyama mnatorosha nje.
Ni kipi mmefanya ccm cha kukumbukwa?
Ufisadi wenu na umaskini mlioleta ulitokana maandamano ya upinzani? nitolee hapa ubongo wako wa kuku.
 
Hawa walipata uhuru 1776, kwa hiyo wana miaka 240 ya kujitawala. Wao wako menopause, sisi tuko puberty. Usijali tutafika tu.
Umenena kweli mkuu ila tujiulize swali moja, India ,China ,Malaysia na wao wana miaka 240 ya uhuru?
hawajaifikia USA ila wameweza Sana kujikwamua wakati juzi tu 1960 walikuwa maskini Kama sisi.
 
Back
Top Bottom