Ciprofloxacin.
JF-Expert Member
- Apr 15, 2015
- 1,583
- 2,702
Hata wao wakati bado wana miaka 50 ya kujitawala hawakuwahi kuhisi kuwa watafika huko....
Unafananisha nchi iliyostaarabika miaka 700 huko nyuma na kanchi ambacho kamestaarabika miaka 50 hapo nyuma?...

Sikiliza wewe kiazi, hakuna maendeleo yanayokuja bila kupangwa na kutendewa kazi, ulivyo mburula eti unasema hata wao hawakujua Kama watafika hapo, Kwa hiyo waliamka asubuhi tu na kukuta kuna Apollo imepaki uani na kisha wakaiendesha hadi mwezini?Hata wao wakati bado wana miaka 50 ya kujitawala hawakuwahi kuhisi kuwa watafika huko....
Unafananisha nchi iliyostaarabika miaka 700 huko nyuma na kanchi ambacho kamestaarabika miaka 50 hapo nyuma?...
Sikiliza wewe mhogo, matusi yako hayatafanya hoja yako iwe na mashiko.....Apollo ya kwanza imerushwa mwaka gani? Na hao watu walianza kustaarabika lini?Sikiliza wewe kiazi, hakuna maendeleo yanayokuja bila kupangwa na kutendewa kazi, ulivyo mburula eti unasema hata wao hawakujua Kama watafika hapo, Kwa hiyo waliamka asubuhi tu na kukuta kuna Apollo imepaki uani na kisha wakaiendesha hadi mwezini?
you're very stupid and you must be a ccm member
kwanza vitu vyenyewe havina faida katika ukuaji wa uchumi na maendeleo vijijini hatuna haja navyo!Kwa nini tunataka kufika huko?
Labda tuna njia zetu nyingine tofauti na huko
Sio lazima sisi kufanya kama wao
Tunaweza kufanya vyetu vya tofauti na vitakavyokua vyetu sio kufanya kama wao
Hahahaaaaaaadodoma tumeshindwa kufika kwa miaka zaidi ya 20 tutaweza huko angani