Magna Carta
JF-Expert Member
- Jul 14, 2014
- 4,335
- 6,617
Dom hakuna sehemu za kuuzia sura na kutafutia matukio ya fenti fodi mfano bandariHabari za leo
Ni swali dogo tu la kujiuliza ni lini serikali na Mh. Rais itahamia rasmi ikulu ya Dodoma, na Je mpaka sasa serikali imeshahamia Dodoma?
karibuni tueleweshane
maana mimi ninavyofahamu ilitakiwa wao ndio waanze kuwepo pale maana hata sasa ofisi yake ndio ina tawala za mikoa na serikali za mitaa, makamu kabakiwa na mazingira tu, Pm kabakiwa na bunge na maafa, yeye ndio alitakiwa awe mstari wa mbeleDom hakuna sehemu za kuuzia sura na kutafutia matukio ya fenti fodi mfano bandari
sina hakika mkuu ina maana pale magogoni itabakia ofisi ndogoatahamia tu soon.. safari ya dodoma imeshaiva
Hata makamu na PM si kila siku unawaona dar ?maana mimi ninavyofahamu ilitakiwa wao ndio waanze kuwepo pale maana hata sasa ofisi yake ndio ina tamisemi na tawala za mikoa, makamu kabakiwa na mazingira tu, Pm kabakiwa na bunge na maafa, yeye ndio alitakiwa awe mstari wa mbele
Hao ndio miongoni mwa wanaotumia vibaya pesa zetu kwa kuwa na makazi na ofisi mbili katika miji tofauti. Usanii wa kwenda Dodoma asubuhi na kurudi jioni ni hasara kubwa kwetuHata makamu na PM si kila siku unawaona dar ?
Dom ni illusion tu
Sana, serikali hii mimi siikubali hata kidogoHao ndio miongoni mwa wanaotumia vibaya pesa zetu kwa kuwa na makazi na ofisi mbili katika miji tofauti. Usanii wa kwenda Dodoma asubuhi na kurudi jioni ni hasara kubwa kwetu
Hao ndio miongoni mwa wanaotumia vibaya pesa zetu kwa kuwa na makazi na ofisi mbili katika miji tofauti. Usanii wa kwenda Dodoma asubuhi na kurudi jioni ni hasara kubwa kwetu
Mwezi wa 12 mwaka janaHabari za leo
Ni swali dogo tu la kujiuliza ni lini serikali na Mh. Rais itahamia rasmi ikulu ya Dodoma, na Je mpaka sasa serikali imeshahamia Dodoma?
karibuni tueleweshane
kwa maana ipiMwezi wa 12 mwaka jana
Mpango kazi walikuwa wameuandaakwa maana ipi
Subiria mabadiliko ya teuzi za wakuu wa mikoa. Ukisikia mungu wa Dar kahamishiwa Dom ujue baba wa mungu wa Dar safari imewiva.Habari za leo
Ni swali dogo tu la kujiuliza ni lini serikali na Mh. Rais itahamia rasmi ikulu ya Dodoma, na Je mpaka sasa serikali imeshahamia Dodoma?
karibuni tueleweshane
Dar pazuri bwana.Habari za leo
Ni swali dogo tu la kujiuliza ni lini serikali na Mh. Rais itahamia rasmi ikulu ya Dodoma, na Je mpaka sasa serikali imeshahamia Dodoma?
karibuni tueleweshane
Magufuli alisema katikati ni pazuriDar pazuri bwana.
Serikali yote iko barabarani kati ya Dar na Dodoma. Gharama za uendeshaji ni kufuru.