Ni lini Rais Magufuli atahamia rasmi Dodoma?

Habari za leo

Ni swali dogo tu la kujiuliza ni lini serikali na Mh. Rais itahamia rasmi ikulu ya Dodoma, na Je mpaka sasa serikali imeshahamia Dodoma?

karibuni tueleweshane
Chadema mumebanwa hasa mfano ukijibiwa inakusaidia nini kwenye maisha yako
 
Chadema mumebanwa hasa mfano ulijibiwa inakusaidia nini kwenye maisha yako
Samahani sana mkuu usinihusishe na masuala ya chama mimi sina chama na ni mtanzania wa kawaida, sijawahi kuleta uchama humu jukwaani, naomba uwe muelewa
 
Subiria mabadiliko ya teuzi za wakuu wa mikoa. Ukisikia mungu wa Dar kahamishiwa Dom ujue baba wa mungu wa Dar safari imewiva.

Baba lazima aandamane na mwana ili upili mtakatifu upate kutimia.
dhana ya kuhamia Dodoma yapaswa kutekelezwa kwa kujipa muda
 
KWA MUJIBU W

A TARATIBU WATUMISHI WOTE WANAOPASWA KUHAMIA DODOMA WASHALIPWA FEDHA ZAO..za uhamisho wanasubili maandalizi ya mwisho renovations za ofisi ili wahamie...
Mkuu nasikia baadhi ya ofisi zimepoteza nyaraka kwa sababu ya kuhama, ni uzembe sana
 
Samahani sana mkuu usinihusishe na masuala ya chama mimi sina chama na ni mtanzania wa kawaida, sijawahi kuleta uchama humu jukwaani, naomba uwe muelewa
Huna maswala mengine ya kuuliza ya kukuongezea kipato mfano tenda unapata wapi au kama huna Kazi au biashara wewe au ndugu yako uulize upewe msaada? kuuliza raisi anahamia lini ni kuuchosha tu ubungo wako ni wastage of brain energy badala ya kuu u direct kwenye serious things zenye maana kwenye maisha yako u brain storm uondoke point A to Point B
 
Ule uwekezaji wa Sabbodo hapo Dodoma, yule Mhindi tycoon wa chadema ya Slaa umefikia kiwango gani? Alihidigi viwanda na wawekezaji wengi sana.
 
Huna maswala mengine ya kuuliza ya kukuongezea kipato mfano tenda unapata wapi au kama huna Kazi au biashara wewe au ndugu yako uulize upewe msaada? kuuliza raisi anahamia lini ni kuuchosha tu ubungo wako ni wastage of brain energy badala ya kuu u direct kwenye serious things zenye maana kwenye maisha yako u brain storm uondoke point A to Point B
sawa mkuu kazi ushauri wako
 
Raisi akihamia tu na akabaki huko huko kwa miezi 6 bila kukanyaga Dar,nitajua kweli ameamua na Dodoma sio tena makao makuu pacha na Dar
Lakini akifanya yale ya Nyerere ya kumzuga Kawawa huku yeye akiendelea kudunda Msasani na Ikulu,hapo atakuwa amefuata ya Mwl.
Jamani Dar ni tamu.
 
Nadhani taratibu labda mpaka mwaka 2020 kama alivyosema yeye hapo awali
 
Nadhani taratibu labda mpaka mwaka 2020 kama alivyosema yeye hapo awali
Mkuu mimi niliyaona hayo ya kuhamia Dodoma 1973 kwa mbwembwe nyingi kuliko za sasa. Chamwino ilijengwa chapu chapu na Nyerere akazuga kana kwamba anahama.
Lakini mwishowe kasi ilikatishwa ghafla na mipango ikavurugwa.Yetu macho.
 
Hili zoezi la kuhamia Dodoma linafaida kubwa sana kwa waheshimiwa maana. Kila siku wako safarini. Hawajulikani wapo dodoma au Dar.
 
Kwa ninavyomfahamu raisi Magufuli Mtashangaa yupo dodoma na wakuu wa vyombo vyote wanakimbizana kumfuata dodoma akiwa anawaangalia na kucheka.tena hakuna muda mrefu toka sasa.
 
Habari za leo

Ni swali dogo tu la kujiuliza ni lini serikali na Mh. Rais itahamia rasmi ikulu ya Dodoma, na Je mpaka sasa serikali imeshahamia Dodoma?

karibuni tueleweshane
Kweli watu wengi ni vilaza hivi huwa husikilizi hotuba za rais
 
!
!
Kwani Ipo Kwenye Ila Ni?
Ni Rahisi Zaidi Kuiita Dar Dodoma Na Dodoma Kuiita Dar Kuliko Kuhamishia Makao Makuu Porini.
Nashauri Wabadili Majina Tu, Dar Iitwe Dodoma Na Dodoma Iitwe Dar. Baasi
 
Back
Top Bottom