Ni lini Rais Magufuli atahamia rasmi Dodoma?

Habari za leo

Ni swali dogo tu la kujiuliza ni lini serikali na Mh. Rais itahamia rasmi ikulu ya Dodoma, na Je mpaka sasa serikali imeshahamia Dodoma?

karibuni tueleweshane

Mkuu, naona anasubiri mpaka miradi ya Stiglers Gorge, Treni ya mwendokasi, upanuzi wa barabara ya chalinze na darasa la Salender vikamilike ili avifungue. Na pia anasubiri ahadi ya Bashite ya kufanya majimbo yote ya dar kuwa chini ya wa wakilishi wa ccm.
 
Wote wamesha hamia ila Dar Es salaam itasomeka Ofisi ndogo Za Wizara Au ofisi ndogo Za Ikulu
Ni mwendo huo
Hata Lumumba huwa tunaita ofisi ndogo Za Makako
makuu

Mkuu sasa ile ahadi ilikua ni kuhamia Ofisi ndogo pale Dodoma
 
Nyie mlishaambiwa maza anaumwa ndo maana kachelewa sasa mnauliza uliza nini na kufukua makaburi ya nyuzi kwani maza ameshapona?
 
Nyie mlishaambiwa maza anaumwa ndo maana kachelewa sasa mnauliza uliza nini na kufukua makaburi ya nyuzi kwani maza ameshapona?

Naomba nieleweshe Maza yupi unamzungumzia, na je kuna uhusiano gani na kuhamia Dodoma, je ni kikwazo?
 
Habari za leo

Ni swali dogo tu la kujiuliza ni lini serikali na Mh. Rais itahamia rasmi ikulu ya Dodoma, na Je mpaka sasa serikali imeshahamia Dodoma?

karibuni tueleweshane
Amehamia jana tarehe 12/10/2019 mkuu,Comrade Magufuli ni mtu wa vitendo,sio maneno.
 
Back
Top Bottom