Ni lini Rais Magufuli atahamia rasmi Dodoma?

Lucas Mobutu

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2017
Messages
10,064
Points
2,000

Lucas Mobutu

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2017
10,064 2,000
Habari za leo

Ni swali dogo tu la kujiuliza ni lini serikali na Mh. Rais itahamia rasmi ikulu ya Dodoma, na Je mpaka sasa serikali imeshahamia Dodoma?

karibuni tueleweshane
Dom hakuna sehemu za kuuzia sura na kutafutia matukio ya fenti fodi mfano bandari
 

Nemo Judex

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2014
Messages
3,409
Points
2,000

Nemo Judex

JF-Expert Member
Joined Jul 14, 2014
3,409 2,000
Dom hakuna sehemu za kuuzia sura na kutafutia matukio ya fenti fodi mfano bandari
maana mimi ninavyofahamu ilitakiwa wao ndio waanze kuwepo pale maana hata sasa ofisi yake ndio ina tawala za mikoa na serikali za mitaa, makamu kabakiwa na mazingira tu, Pm kabakiwa na bunge na maafa, yeye ndio alitakiwa awe mstari wa mbele
 
Last edited:

Lucas Mobutu

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2017
Messages
10,064
Points
2,000

Lucas Mobutu

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2017
10,064 2,000
maana mimi ninavyofahamu ilitakiwa wao ndio waanze kuwepo pale maana hata sasa ofisi yake ndio ina tamisemi na tawala za mikoa, makamu kabakiwa na mazingira tu, Pm kabakiwa na bunge na maafa, yeye ndio alitakiwa awe mstari wa mbele
Hata makamu na PM si kila siku unawaona dar ?
Dom ni illusion tu
 

Pohamba

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2015
Messages
21,338
Points
2,000

Pohamba

JF-Expert Member
Joined Jun 2, 2015
21,338 2,000
Wote wamesha hamia ila Dar Es salaam itasomeka Ofisi ndogo Za Wizara Au ofisi ndogo Za Ikulu
Ni mwendo huo

Hata Lumumba huwa tunaita ofisi ndogo Za Makako
makuu
 

Asprin

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2008
Messages
60,528
Points
2,000

Asprin

JF-Expert Member
Joined Mar 8, 2008
60,528 2,000
Habari za leo

Ni swali dogo tu la kujiuliza ni lini serikali na Mh. Rais itahamia rasmi ikulu ya Dodoma, na Je mpaka sasa serikali imeshahamia Dodoma?

karibuni tueleweshane
Subiria mabadiliko ya teuzi za wakuu wa mikoa. Ukisikia mungu wa Dar kahamishiwa Dom ujue baba wa mungu wa Dar safari imewiva.

Baba lazima aandamane na mwana ili upili mtakatifu upate kutimia.
 

The Invincible

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2006
Messages
5,558
Points
2,000

The Invincible

JF-Expert Member
Joined May 6, 2006
5,558 2,000
Habari za leo

Ni swali dogo tu la kujiuliza ni lini serikali na Mh. Rais itahamia rasmi ikulu ya Dodoma, na Je mpaka sasa serikali imeshahamia Dodoma?

karibuni tueleweshane
Dar pazuri bwana.

Serikali yote iko barabarani kati ya Dar na Dodoma. Gharama za uendeshaji ni kufuru.
 

Forum statistics

Threads 1,344,375
Members 515,441
Posts 32,817,895
Top