Ni lini Rais Magufuli atahamia rasmi Dodoma?

Dom hakuna sehemu za kuuzia sura na kutafutia matukio ya fenti fodi mfano bandari
maana mimi ninavyofahamu ilitakiwa wao ndio waanze kuwepo pale maana hata sasa ofisi yake ndio ina tawala za mikoa na serikali za mitaa, makamu kabakiwa na mazingira tu, Pm kabakiwa na bunge na maafa, yeye ndio alitakiwa awe mstari wa mbele
 
Last edited:
Wote wamesha hamia ila Dar Es salaam itasomeka Ofisi ndogo Za Wizara Au ofisi ndogo Za Ikulu
Ni mwendo huo

Hata Lumumba huwa tunaita ofisi ndogo Za Makako
makuu
 
Suala la kuhamia kabisa Dodoma ni Suala la Muda na rasilimali pia ngoja tusubiri
Hao ndio miongoni mwa wanaotumia vibaya pesa zetu kwa kuwa na makazi na ofisi mbili katika miji tofauti. Usanii wa kwenda Dodoma asubuhi na kurudi jioni ni hasara kubwa kwetu
 
Habari za leo

Ni swali dogo tu la kujiuliza ni lini serikali na Mh. Rais itahamia rasmi ikulu ya Dodoma, na Je mpaka sasa serikali imeshahamia Dodoma?

karibuni tueleweshane
Subiria mabadiliko ya teuzi za wakuu wa mikoa. Ukisikia mungu wa Dar kahamishiwa Dom ujue baba wa mungu wa Dar safari imewiva.

Baba lazima aandamane na mwana ili upili mtakatifu upate kutimia.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom