Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,792
Mkuu TCRAMagufuki ni dikteta mshamba asiye na dira ya mwendo, kifua cha maneno wala breki ya mdomo.
rais aache upendeleo ktk mkoa wa dar!!
1. vitanda vilipelekwa muhimbili tu... wakati zahanati nazo zinahitaji vitanda.
2. barabara ya mandela - ubungo kibangu.
3. barabara ya mwenge - moroco
kwa kuwa rais umekuwa ukipanga matumizi ww mwenyewe.... utukumbuke na sisi wa huku vijijini....[/QQUOTE
Mkuu amia dar
Familia ya Hifikepunye ingefahamu kiwango chako cha kutukuka cha ukilaza ulichonacho,wangekushitaki kwa kuchafua heshima ya jina lao.
Mkuu Andrew Nyerere,ni wema gani alifanyiwa? Tafadhali naomba kujuzwa.Kwa nini asilipe fadhila kama amefanyiwa wema? Ina maana wewe ukifanyiwa fadhila unadhani ni haki yako?
Hata mimi nadhan kiwanda cha simu, cha magari siyo tija kuu kwa Watanzania leo hii. Viwnda ambavyo vinapswa kupewa kipaumbele ni vile vya kuprocess raw material ili kuongeza thamani ya bidhaa zetu. Na kiukweli viwanda vya aina hiyo husaidia kuleta ajira za moja kwa moja. Hivyo mkazo uwe ni viwanda vya kuchakata mazao, samaki, madini na bidhaa zingine. Wachina ni wazuri ila wamekaa kiuchuuzi zaidi kuliko uhalisia!Wachina wanakuja kujenga kiwanda cha simu....kibangu wanapelekewa barabara! Wao wanalia na maji pia......mpango ukoje? Kwa sasa watanzania hatuna shida ya kiwanda cha simu! Heri wangejenga kiwanda cha madawa ya binadamu ili wasiagize nje wanunue hapa hapa!
Je unao ushahidi wa Bajeti kwa barabara ya Halmshauri na zile za Tanroads? Hivi unajua juna mambo ni double standard hasa inapokuja suala la Mhandisi wa Halmshauri na yule wa Tanroads? Unafaham kuwa ni ukweli usiopingika bajeti ya barabara ya Tanroads na zile z a Halmshauri tofauti ni kubwa mno. Tuchukulie barabara yoyote ya kawaida ya kiwangoa cha Kifusi. Rate ya gharama kwa kiwango cha Changarawe Halmshauri huwa ni ndogo huku Tanroads huwa ni kubwa!Acha rais afanye kazi hizo manispaa zilishashindwa kujenga barabara. Naomba unitajie barabara moja ya maana ambayo manispaa wamejenga zaidi ya usanii tu wanapaka rami baada ya miezi mitatu mashimo yanaanza. Kwanza ningekuwa mimi ningewanyan'ganya zote maana miaka 50 hawana barabara hata moja ya kujivunia.
Hizo system mnazozitetea zimefeli kwa miaka 50 acha rais aingilie kati achukue maamuzi zijengwe barabara za maana
Duuh..huogopi Sheria za mitandao?1) Kafukuza vilaza UDOM
2) Kamchana Jk hadharani
3) Kazoa uchafu ferry kwa mikono yake Independent day
4) Kaapa kupambana na Waagizaji wa sukari now
5) Kaenda kuahidi ujenzi wa Barabara kanisani
6) No Bunge Live
7) Kipeperushi cha Mawio kimefutwa ( sio kufungiwa)
8) Kaamuru Polisi kuiba tairi za Magari kwa wenye trafick case za BRT.
9) Kapiga Marufuku kusema fedha hazitoshi Wizarani.
10) ......
Hayo ni Trailer picha kamili linakuja baada ya kupita Bajeti 2016/17
"... tunataka Rais wa Maamuzi magumu...",
"..Huyu Rais ndio mrithi sahihi wa Hayati Baba wa Taifa"
Rais mstaafu Kikwete anakumbukwa zaid na waliokuwa wapinzani wake kuliko Rafiki zake.
Hilo ndio lilikuwa kosa kubwa la mwalimu hakuweka taasisi za kuwadhibiti viongozi, hasa kwa sababu alijiamini kuwa ni muadilifu, akasahau kuwa siku moja ataondoka,na Mh magufuli Anafanya kosa lilelile kama anaweza kuchukua pesa bila utaratibu kwa nia njema, wapo watakaochukua, kwa nia mbaya.
Upo sahihi kabisa mkuu. Hakuna haja ya kuwa na manispaa wala hawa wabunge na mawaziri hawafanyi kazi yoyote. Kazi zote anaziweza mkuu wa kaya. Akimaliza hiyo ya huko aje na huku kitunda ajionee. Hapa kazi tuKuna sheria inayomkataza rais kujenga barabara iliyo kwenye manispaa?
Duuh..huogopi Sheria za mitandao?
Wewe una kiakili kidogooooo kama piriton. Mpuuzeni huyu.Kuna sheria inayomkataza rais kujenga barabara iliyo kwenye manispaa?