Ni lini Mzee wetu Kikwete ataongea na vijana?

hivi hao wazee wanapatikanaje maana hatujawahi kusikia likitolewa tangazo popote la kuwataarifu wazee juu ya mkutano wao na JK.
 
Hawa?

Picha+na+3.jpg


au hawa...

Sehemu%20ya%20wahitimu%20wa%20kozi%20ya%20Udaktari%20wakati%20wa%20sherehe%20za%20mahafali%20ya%2011%20ya%20Chuo%20Kikuu%20cha%20Kumbukumbu%20ya%20Hubert%20Kairuki%20%20yaliyofanyika%20hivi%20karibuni%20jijini%20Dar%20es%20Salaam.JPG


Thubutu!
Chagua mwenyewe.
 
Labda anahofia vijana badala ya kumsikiliza watakuwa bize kuweka status Facebook na Twitter...

"Having dinner meeting with Mr. President at Hyyat Regency Hotel"

Wengine sasa:
"With my lovely President for dinner, OMG he is so handsome"
 
Hao sio wazee safi. bali ni wachawi na waganga wake wa kienyeji, wakisema leo mashetani hayajaruhusu kulihutubia Taifa hawezi kuhutubia kama alivyoahirisha kulihutubia Taifa.
 
Mara nyingi nimekuwa nikishuhudia Mh. Rais akihutubia taifa kupitia wazee. Najiuliza ni lini hasa atahutubia vijana? Au kanuni haziruhusu jambo hili?

Sijuti acha kujuta, Mukulu ataongea na vijana wazee wakifa, after all anaongea kila siku na vijana kupitia kwa Napelepe!
 
Mara nyingi sana mwisho wa mwezi, kila mkoa akienda mh. Rais anahutubia taifa huku anaongea na wazee wa sehem hiyo ...
Kwann asiongee na vijana hata mara moja?
Ama vijana wao hawana busara ?
 
hana hoja za kuongea na vijana pia vijana hawana muda wa kumsikiliza JK ndo maana anapenda kuongea na wazee kwa sababu hawamuulizi maswali
 
Hawezi Kuongea na vijana na hana la kuwaambia yy aongee na wazee tu vijana tutaongea na kijana mwenzetu 2015 october
 
Back
Top Bottom