Ni lini Mzee wetu Kikwete ataongea na vijana?

Babu Kijiwe

JF-Expert Member
Mar 31, 2010
4,762
4,576
Mara nyingi nimekuwa nikishuhudia Mh. Rais akihutubia taifa kupitia wazee. Najiuliza ni lini hasa atahutubia vijana? Au kanuni haziruhusu jambo hili?
 
Thubutu unadhani hajui hali ya hewa ya vijana ee? Anafahamu sana hiyo itakua issue ngumu sana maana ata uko wanapojitoa muhanga ni vijana sio wazee
 
vijana wana tabia ya kurusha viti wakiona mambo hayendi watakavyo..pia wana maswali magumu sana..
 
Mara nyingi nimekuwa nikishuhudia Mh. Rais akihutubia taifa kupitia wazee. Najiuliza ni lini hasa atahutubia vijana? Au kanuni haziruhusu jambo hili?

Vijana wana hasira mbaya!!! wamepinda na maisha watamrushia viti akicheka cheka....
 
Anaogopa watamzomea, Wazee huwa wanauchapa usingizi huku wakisubiri amalize ili wakauchangamkie ubwabwa na pia kupokea bahasha za kaki.
vijana hatuna muda wa kumsikiliza mtu dhaifu ambayo hana hoja mkuu kwanza tunaweza kumpiga vibao kwenye huu mkutano.
 
Kwani Si Alishaongea Na Wale Vijana Wa "2 YATOSHA" Miezi Michache Iliyopita Au MSHAHAU??
 
Mara nyingi nimekuwa nikishuhudia Mh. Rais akihutubia taifa kupitia wazee. Najiuliza ni lini hasa atahutubia vijana? Au kanuni haziruhusu jambo hili?

Sikunyingi sana vijana wameshachoka na porojo za ccm wamedelete
 
Mara nyingi nimekuwa nikishuhudia Mh. Rais akihutubia taifa kupitia wazee. Najiuliza ni lini hasa atahutubia vijana? Au kanuni haziruhusu jambo hili?

Mjomba vijana wa ccm unawajua au unawasikia ?
 
Attachments

  • attachment-10.jpeg
    attachment-10.jpeg
    12.2 KB · Views: 428
Vijana zaidi ya 300 waliopitia JKT wakiwa na bendera nyekundu waandamana kuelekea ikulu kudai haki zao kadhaa wa kadhaa, unadhani kikwete anawataka kweli vijana?
 
Back
Top Bottom