MGOGOHALISI
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 1,988
- 2,593
Navishangaa vyuo vikuu vya Tanzania hasa vyenye kutoa shahada mbalimbali za zinazohusiana na sanaa kutokuona mchango wa huyu mwamba. Masoud amekua akitoa kazi zenye kufikirisha na kutumia akili kwa miaka mingi sana. Binafsi toka nimfahamu ni zaidi ya miaka ishirini sasa.
Natoa wito kwa vyuo hivi visikimbilie kutambua wanasiasa peke yao. Viangalie kazi za wanajamii mmoja mmoja kama huyu na kutambua mchango wao. Nawasilisha hoja.
Natoa wito kwa vyuo hivi visikimbilie kutambua wanasiasa peke yao. Viangalie kazi za wanajamii mmoja mmoja kama huyu na kutambua mchango wao. Nawasilisha hoja.