Ni lini Masoud Kipanya atapewa PhD ya Heshima kwa kazi anazozifanya?

MGOGOHALISI

JF-Expert Member
Apr 16, 2011
1,984
2,587
Navishangaa vyuo vikuu vya Tanzania hasa vyenye kutoa shahada mbalimbali za zinazohusiana na sanaa kutokuona mchango wa huyu mwamba. Masoud amekua akitoa kazi zenye kufikirisha na kutumia akili kwa miaka mingi sana. Binafsi toka nimfahamu ni zaidi ya miaka ishirini sasa.

Natoa wito kwa vyuo hivi visikimbilie kutambua wanasiasa peke yao. Viangalie kazi za wanajamii mmoja mmoja kama huyu na kutambua mchango wao. Nawasilisha hoja.
 
Afanye yafuatayo atapewa hiyo phd ya heshima

1. Akimbize hashtag ya #TukonamamaSamia2025
2. Amsifie Rais kwa masifa kedekede
3. Awe mnafiki

Hata chukua hata wiki PhD anapewa
 
Una uhakika anawazidi kina Gado, Said Michael, James Gayo n.k.?.
 
Kuna kupindi alisema anatishiwaa maishaaa

Napenda njia atumiazo kufikisha ujumbee kweli anastahili recognition
 
Back
Top Bottom