Ni lini mara ya mwisho kula haya matunda

Bana Balume

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2017
Posts
999
Reaction score
2,730
Zambarau, embe ng'ong'o na vibungo
images (7).jpeg
FB_IMG_15911156325097895.jpg
download.jpeg
 
Zambarau kila Msimu lazima nizile nyingi mno... Kuna Mhindi aliniamia never miss Zambarau nikashangaa kwani mie ni zangu kuzila akasema zitakupunguzia kwenda Hospital naamini maneno yake hadi leo... bonge la kinga ya magonjwa Mengi.. nashangaa kusikia watu hadi radha yake wamesahau!

Mambungo hayana issue yanaharibu kinga za Meno tu mapumbavu sana hayo Matunda waachiwe jinsia ya kike tu ndio wanayapenda kama ubuyu. Embe Ng'ong'o ni Matunda ya Watoto
 
Zambarau kila Msimu lazima nizile nyingi mno... Kuna Mhindi aliniamia never miss Zambarau nikashangaa kwani mie ni zangu kuzila akasema zitakupunguzia kwenda Hospital naamini maneno yake hadi leo... bonge la kinga ya magonjwa Mengi.. nashangaa kusikia watu hadi radha yake wamesahau!
Aisee basi huku town ni adim sana hizo
 
Aisee basi huku town ni adim sana hizo
Tatizo kwenye mashamba ambako zilikua zinatoka saizi ni makazi ya watu so ukataji wa mti kwa ajili ya viwanja umeathiri sana kwa mfano maeneo ya kigamboni kibada kulikua kunatoa dhambarau nyingi sana na embe saizi zimepungua sana
 
Kweli aisee miti yake ile ya asili mikubwa
 
Aisee basi huku town ni adim sana hizo
Zambarau kama ni dar nyingi mno hua znapatikana sokoni kkoo na ukanda wa msimbazi, kigamboni hapo feri ndo nyingi zaidi hua wanaweka kwenye vifuko vya pakacha
 
Itabidi nicheki vizuri hua napita sana hayo maeneo
 
Bungo nimekula mwezi wa tatu au wa nne ilikuwa hzo embe nilikula muheza tanga kuna kipindi nilienda kuchukua dodo zambarau ndio sikumbuki zamaaaaani sana shule ya msingi ilikuwa songea!
 
Back
Top Bottom