Ni lini Magufuli ataacha kumsifia Kikwete?

Ni lini Magufuli ataacha kumsifia Kikwete?

Mbona Lowasa kila hotuba zake nasema Nyerere alisema hivi na hivi lakini hasemi pale NYerere alipowambia wajumbe kuwa Lowasa amejilimbikizia mali alipata wapi kama sio wizi na hizo pesa alizowapa Ahmad an Mbowe na boda boda wa DAR wanaoshabikia amezipata wapi?kama sio wizi

Toka usingizini ndugu yangu hacha siasa za vijiweni hazitakusaidia. Kikwete safi katufiksha pazuri labda wewe
 
teh teh teh, magufuliii... aliulizwa nn kipaumbele chako? akajibu nasubiri ilani ya chama changu, daaah hatufai hata kdogo

Huyo ndiyo Magufuli the parrot aka anakariri hadi idadi ya dagaa. Aliyeundwa kwa fedha za wafadhili na serikari ya ccm inayoongozwa na jakaya mrisho kikwete, sitawaangusha
 
anamsujudia mpaka aibu! sijui lini atasimama yeye kama yeye

Mkuu unafikiri kwa nini JK kamwita TINGATINGA? Tingatinga linaendeshwa, halijiendeshi lenyewe. Ikitokea bahati mbaya JPM akwa raisi ujue hapo ni kama JK anaendelea kuongoza nchi. Ataliendesha hilo TINGATINGA.
 
Yah! Candidate wa chama asimamia nakuongozwa na ilani ya chama kilichomsimamisha ahadi yake binafs ni juu ya shida za watanzania anazijua nahatotuangusha ila mcjali tar 22 mwali mkoleni tutajua ilan gani nikwaajili ya watanzania na ipi kwaajili ya campaign.
 
Huyu ni kama bado haamini kama ndiyo mgombea wa uraisi kupitia ccm ndiyo maana bado anajikomba kwa kikwete. Ila kwa jinsi upepo unavyo zidi kuvuma ndivyo nyeti za kuku zinazidi kuonekana.
 
huyu jamaa bado sana juz kwenye maonesho ya nane nakumbuka ndo mtu wa kwanza jk kumpa salam na kumwambia asalimu hadhira. daah cha ajabu akaanza ndugu mheshimiwa rais nakushukuru sana kwa kuwa na wwe kwenye uongoz wa serikal yako kwenye sector mbalimbali,mfano sector ya kilimo,uvuvi na umwagiliaj ilinisaidia kujua tuna mbuzi wangapi? ng'ombe wangap? dagaa na samaki wangapi?.....daaah wadau hiki n nni ssa
 
hadi anakera, kauli zake ni tatu tu kila anapofanya mkutano.

1. ....hivi watanzania nimeshawahi kuwaangusha kweli........ (anataka watu wamwonee huruma)
2. ....yani kwa kweli mimi mkinichagua nitatekeleza ilani ya chama chetu kuwaletea maendeleo ya kweli......
3......namshukuru sana mweshimiwa Rais Jakaya kuifikisha nchi hapa ilipo, namshukurus sana tena sana, nafikisha pongezi zangu za dhati kwake, tena na yeye yupo hapa ananisikia.......
 
Nimekuwa nikifuatilia kauli na hotuba mbalimbali za magufuli, nimegundua mambo mawili tu ambayo mgombea huyo kwa tiketi ya CcM anayo. Nayo ni:-

Jambo la kwanza ni KUMSIFIA RAIS KIKWETE

Jambo la pili ni SITAWAANGUSHA.

Swali, JE WATANZANIA WA LEO WANAYAHITAJI HAYO?????????
 
Tumsamehe bure hana jambo lakuwafanyia watanzani ndio mana yeye kaishia sitawaangusha.
 
Nimekuwa nikifuatilia kauli na hotuba mbalimbali za magufuli, nimegundua mambo mawili tu ambayo mgombea huyo kwa tiketi ya CcM anayo. Nayo ni:-

Jambo la kwanza ni KUMSIFIA RAIS KIKWETE

Jambo la pili ni SITAWAANGUSHA.

Swali, JE WATANZANIA WA LEO WANAYAHITAJI HAYO?????????

Wewe ulikuwa unahitaji aseme nini zaidi wakati ilani ndiyo imetoka Jana na kampeni zinaanza tarehe 22/08/2015?
 
Wewe ulikuwa unahitaji aseme nini zaidi wakati ilani ndiyo imetoka Jana na kampeni zinaanza tarehe 22/08/2015?
Hiyo takataka yenu inayoitwa ILANI ndio imetulostisha kwa miaka yote ya nyuma.
Tena Ilani yenu ya uchaguzi huu itakuwa worse, manifesto iliyosimamiwa kutengenezwa na Wassira itakuwa na jambo gani la maana??
 
Mbona Lowasa kila hotuba zake nasema Nyerere alisema hivi na hivi lakini hasemi pale NYerere alipowambia wajumbe kuwa Lowasa amejilimbikizia mali alipata wapi kama sio wizi na hizo pesa alizowapa Ahmad an Mbowe na boda boda wa DAR wanaoshabikia amezipata wapi?kama sio wizi

Toka usingizini ndugu yangu hacha siasa za vijiweni hazitakusaidia. Kikwete safi katufiksha pazuri labda wewe
Tupia hiyo clip ya hotuba unayosema Lowassa haisemi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom