Huyo ndiyo Magufuli the parrot aka anakariri hadi idadi ya dagaa. Aliyeundwa kwa fedha za wafadhili na serikari ya ccm inayoongozwa na jakaya mrisho kikwete, sitawaangusha
hahahaha
Huyo ndiyo Magufuli the parrot aka anakariri hadi idadi ya dagaa. Aliyeundwa kwa fedha za wafadhili na serikari ya ccm inayoongozwa na jakaya mrisho kikwete, sitawaangusha
MC .JOHN POMBE MAGUFULI anamnadi Kikwete, inawezekana magufuli hajui kama yeye ni mgombea urais na anajua kikwete anaendelea kutetea kiti chake. hivyo anamnadi kwa wananchi
Wandugu,
Nimekuwa namfuatilia sana huyu mgombea urais wa CCM, ndg Pombe Magufuli, anapokuwa jukwaani anatumia muda mwingi sana kumsifu Kikwete kuliko yeye mwenyewe kujipambanua atafanya nini.Sio siri mimi huyu jamaa sijawahi kusikia hotuba yake isiyo na jina Kikwete.
Magufuli mpaka sasa hajajua huyo anayemsifu ndiye katufikisha hapa pabovu tulipo? Wewe tumia muda wako kumsifu huyo boss wako utakuja kustuka imekula kwako, utakuwa loyal kwa jamaa mpaka lini?
Mwanzo mimi nilijua unamfurahisha ili akuteue kuwa mgombea, sasa si tayari umeshateuliwa mbona bado unazidi kummwagia jamaa masifa? Ina Maana kweli wewe huna cha kusema chako?
Ushauri wangu usimsifie sana maana yake mwisho wa siku asije akaona unampaka mafuta kwa mgongo wa chupa...
anafikiri sie tumening'iniaMzee wa SITAWAANGUSHA.
Lowassa ndio hana jipya kabisa
Alipokuwa kampeni meneja wa JK alituambia maisha bora kwa kila mtz ss anatuhadaa anataka tuwe matajiri kama bakhresa . Asaeme kwanza wamasai mbona bado wanajifunga mashuka machafu kiashiri a cha kwamba umaskini umekithiri kiasi cha kukosa sabuni ya kufulia. Sishangai kwa sababu its vety well known kuwa Lowassa ni tapeli la kitaifa la kisiasa
Potelea mbali FISADI