Black Codes Cracker
Member
- May 7, 2022
- 68
- 116
Sio poah,ishawahi nikuta 6week huko tanga kabuku mvua zilikua za vuli hadi za kifuku zikatukuta bado tupo kozi tulioza miguu balaa
ingekua ya tpdf sijui ingekyaje
😆😆 jamaa wa ‘ikuru’Jamaa wa "ikuru" atakuwa na majibu. tumsubiri aje
Yaaani haitabiliki vijana wenye sifa zao wataitwa kwa simu tusitegemee sana PDFWazee, mwenye lonja ya lini wajuba wanatoa majina/kupiga simu ya watakaoitwa kwenye usaili awajuze wadau, watu alili zao hazitaki kufanya kazi nyingine zaidi ya kuwaza Depo tu.
NB: Depo ya kihangaiko ya mvua ni balaa wazee. Jiandaeni kisaikolojia. Sijawahi kupiga hiyo, ila atleast kwa mazingira flani nimewahi kuona.
Tulieni acheni papara!
Hahaha! Wangejua maskiniyaaan Vijana Wanapenda sana Ajira embu jifunzeni kujiajiri.. kwanza nafasi zile ni za wachache waachieni yaaani wako na papara balaa
Wanautamani moto ngoja waende kwanza waonje Radha. YakeHahaha! Wangejua maskini
Utashangaa hawa hawa wanaotamani wakatoroka kikosiWanautamani moto ngoja waende kwanza waonje Radha. Yake
Utashangaa hawa hawa wanaotamani wakatoroka kikosi
Jibu ya hii Thread atupe Mr Bachelor llWazee, mwenye lonja ya lini wajuba wanatoa majina/kupiga simu ya watakaoitwa kwenye usaili awajuze wadau, watu alili zao hazitaki kufanya kazi nyingine zaidi ya kuwaza Depo tu.
NB: Depo ya kihangaiko ya mvua ni balaa wazee. Jiandaeni kisaikolojia. Sijawahi kupiga hiyo, ila atleast kwa mazingira flani nimewahi kuona.
Sasa hivi standard za mafunzo ni za moto, acha wapakimbilie japo kwa wavumilivu na wanaolipenda jeshi hakuna shida.We tulia huku mtaani mi nitawapokea niwape Ajira.. ata ya ulinzi Kuna jamaa yangu ni WA uko uko anasema ndani ya wiki 6 alikuwa kama zombie so poah
experience pekee niliyoipata ni depo ya jkt, ya jua kali (Kanembwa JKT) na upepo wa kuleta usingizi japo hakuna muda huo...Sijui kwa wengine aisehe ila ni kheri ufanye depo kipindi Cha mvua si kipindi Cha jua Kali na vumbi alloh! Sifa morali tu depo mvua angalau.
Hakuna anayepakimbilia au anayeogopa kwa kuwa system ndo ipo hvyo, lazima watu waende, wengine walisake bakabaka na wengine watoroke....Sasa hivi standard za mafunzo ni za moto, acha wapakimbilie japo kwa wavumilivu na wanaolipenda jeshi hakuna shida.
Tatizo ni wale wapenda ajira na sifa. Moto watauona
Muhimu hii...We tulia huku mtaani mi nitawapokea niwape Ajira.. ata ya ulinzi Kuna jamaa yangu ni WA uko uko anasema ndani ya wiki 6 alikuwa kama zombie so poah
Somo la kukiajiri limeshindikana poti, kila chaka gumu. Ndo mana watu wanalazimika kupenda kuajiriwayaaan Vijana Wanapenda sana Ajira embu jifunzeni kujiajiri.. kwanza nafasi zile ni za wachache waachieni yaaani wako na papara balaa
Na inawezekana pia ndo wakavumilia kwa kuwa wapo tayari kwa lolote...Utashangaa hawa hawa wanaotamani wakatoroka kikosi