Elections 2010 Ni lini Chadema Watafungua Kesi Za Majimbo ya Ubunge

VoiceOfReason

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
5,194
1,364
Every minute counts Chadema kama bado haijafungua kesi mahakamani kuhusu majimbo ya magu, shinyanga, segelea, to name just a few wanangoja nini. Knowing kwamba wingi wa wabunge wa upinzani utasaidia sana katika kuchagua Spika, yes i know it will be too late sababu sometimes kesi hizi they can take years, So i say this again no need to delay kusanya all the evidence tuelekee mahakami asap:sad:
 
Back
Top Bottom