baz kaiza
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 11,479
- 12,092
Mkunda alisema vijana wetu ni wahalifu. Vijana wanaopamba kuasi mfumo kandamizi dhidi ya ufisadi na utekaji.
Tangia utekaji umeshamili nchini, ni lini Mkuu wa Jeshi tena la Wananchi JWTZ aliwahi kukemea utekaji na kuonyesha kuchukizwa na vitendo vya utekaji dhidi ya wananchi. Kama kuna mwenye clips aziweke hapa.
Tunataka kujua hili jeshi kweli bado la wananchi au kimekua kikundi cha kulinda watu flani tujue kama ikiwezekana wabadilishe jina kutoka jeshi la wananchi na kua jeshi la kikundi flani tujue.
Kama mkuu wa Majeshi hajawahi kukemea utekaji kibali cha kuita vijana wetu wahalifu alikitoa wapi kiufupi Jeshi nalo linaitaji REFORMS Wananchi wakikosa Imani na jeshi lao Nyerere akua Mjinga kubakiza jeshi kua la Wananchi Mkunda ulishidwa kutoa kauli kwamba wa sikilizeni wananchi hiyo ilitosha hiyo kauli tu