wameimprove lifetime ya battery
Bei ya iPhone5 ni $199(16 GB) na $399(32 GB) ambapo kwa hela za kitanzania ni shillingi 320,000 na 640,000. Hapa bado usafirishaji, VAT, na makorokoro mengine.
niulize swali eti kama unatumia mtandao wenye 2.5g iphone 5 yaweza suppot?
nigaR ok then, pitia hizi link:Mkubwa hapo kwenye red siamini kabisaaaa
mkuu siyo iphone nano ni ipod nano ndyo imekuwa announced nimefuatilia kwa karibu sana pindi wana release hii makitu!!acha ipod nano ambayo hata mimi nnayo heheheh, hii ni iphone nano ina umbo dogo kuliko iphone za kawaida na bei yake itakuwa cheaper kuliko izo kubwa, nilikuwa nawatch asubuhi kuhusu iphone 5 na ios6 pia wakazungumzia kuhusu iphone nano na ikaoneshwa sample yake
aisee kidogo nife kwa presha $199??? kumbe ni kwa contract bhana!! hebu muwe mnaweka information vizuri khaaa!!
nigaR ok then, pitia hizi link:
CNET:
Apple prices the iPhone 5 same as 4S: $199 for 16GB | Apple - CNET News
TechCrunch
iPhone 5 Pricing And Availability Revealed: $199 For 16GB, $299 For 32GB, $399 For 64GB, Ships On Sept. 21 | TechCrunch
SlashGear
iPhone 5 priced at $199 with pre-orders starting September 14th - SlashGear
Need I say more?
GIVENALITY hizo price ni Kama utaingia nao contract for two years. Na kwa Bongo hakuna kampuni ya simu iliyoingia mkataba na Apple kuuza bidhaa zao. It is not cheap as you thinknigaR ok then, pitia hizi link:
CNET:
Apple prices the iPhone 5 same as 4S: $199 for 16GB | Apple - CNET News
TechCrunch
iPhone 5 Pricing And Availability Revealed: $199 For 16GB, $299 For 32GB, $399 For 64GB, Ships On Sept. 21 | TechCrunch
SlashGear
iPhone 5 priced at $199 with pre-orders starting September 14th - SlashGear
Need I say more?
mkuu siyo iphone nano ni ipod nano ndyo imekuwa announced nimefuatilia kwa karibu sana pindi wana release hii makitu!!
nasubiria zishuke bei nitanunua baada ya mwaka