ni leo uzinduzi wa apple's iphone 5. Updates zote utazipata humu

Haya taharifa zimetoka kitu iphone 5 huko US kimenunuliwa haraka simuchezo online angalau huko kwao. Chief usibishe follow the link ukitaka kujua zaidi[h=1]iPhone 5 Pre-Order Sells Out 20X Faster Than 4 And 4S, Further Highlighting Apple’s Dominance[/h]

Ushawahi skia brainwashing? Ndo hio sasa. Mimi nasoma business so hii nafkiria ni field yangu zaidi.

Iphone 4 na 4s zilitumia masaa 20 na 22 kumaliza pre ordered stock wakati iphone 5 imetumia only 60 minutes kumaliza pre ordered stock. So wakatafsiri kua iphone 5 inauza fasta mara 20 zaidi. Loh

Haya twende kibiashara wametaja idadi ya stock za iphone 4 na iphone5? Jibu ni hapana so hapa tunaona brainwash inapoanza

Unaweza ukakuta pre ordered za iphone 4 zilikua ni milion 1 na za iphone 5 zipo elfu 50,000 so ndo mana zamani ikachukua mda kumaliza na sasa wanaposema imeuza 20 times faster bila kutaja stock nani ataelewa?

Anyway wana marketers wenye akili
 
Back
Top Bottom