ni leo uzinduzi wa apple's iphone 5. Updates zote utazipata humu

dah simu ishazinduliwa we are late nawaachia wa aple jigambeni i will be back na critics zangu
 
iPhone 5 ina 8 megapixel, 3,264 x 2,448 backside-illuminated sensor, five-element lens and f/2.4
 
Hii ndio picha latest ya iPhone 5:
A2m9z2MCAAAsM9X.jpg
 

Attachments

  • iphone5.jpg
    iphone5.jpg
    15 KB · Views: 58
The only innovation niliyoiona ni three microphone. Hii itasaidia kwenye noise reduction
 
iPhone 5 imepunguzwa wembamba kwa 18%,uzito kwa 20% kuliko iPhone 4S; Pia, the new screen has 4-inch display

atvsl4
 
i phone sasa hivi ndio inazinduliwa mbona siwezi kuangalia online anayejua direct link tafadhali
 
While unveiling the "new kid in town" iphone 5, Samsung just confirmed The Jelly Bean Update of Galaxy S2 and S3 from October 2012..
 
Hawa watatumaliza na maugunduzi yao. Kabla hata hatujaweza kudonoa na kujua feature za hizi tulizo nazo wanaleta nyingine? Simu yangu ya iphone huwa not very user friendly kama NOKIA na Sumsung!! Mashindano haya !!!! Ila bora kuliko sisi tunaoshindana kwa matusi ya kisiasa kama ya kina Lusinde na Mwigulu.
 
Bei ya iPhone5 ni $199(16 GB) na $399(32 GB) ambapo kwa hela za kitanzania ni shillingi 320,000 na 640,000. Hapa bado usafirishaji, VAT, na makorokoro mengine.
 
kwa niliyoona na kusoma baada ya uzinduzi, kwa upande wangu hawajafkia matarajio yangu nilidhan watakuja ni kitu kimoja kina mambo ya ajabu na yasiyo tegemewa. Ila naona speculations zilikuwa kali zaidi ya iphone 5 yenyewe.
 
mbona wanaziuza cheap kiasi icho kipindi hiki. au ndo kutaka kulishika soko
 
Back
Top Bottom