ni leo uzinduzi wa apple's iphone 5. Updates zote utazipata humu

samsung s3 ndio imesababisha bei ishuke ila wameniboa sana na simu yao haiko kama wengi walivyosema ila screen kubwa
 
Wameimprove kwenye 3G tu. Talk time for 4G hawajaweka wazi. Which is not a good sign for battery life kwa 4G

mkubwa Obi uko ulaya nini?? naona unalalamikia 4G wakati kwetu hata 3G mpaka tugombane
 
Last edited by a moderator:
niulize swali eti kama unatumia mtandao wenye 2.5g iphone 5 yaweza suppot?
 
Bei ya iPhone5 ni $199(16 GB) na $399(32 GB) ambapo kwa hela za kitanzania ni shillingi 320,000 na 640,000. Hapa bado usafirishaji, VAT, na makorokoro mengine.

Hizo bei ni Kama utasign nao mkataba wa miaka miwili. Ukijutaji bila mkataba ni zaidi ya hiyo
 
Apple just announced that the new iPhone 5 will cost $199 for the 16GB model, $299 for the 32GB model and $399 for the 64GB option.
 
aisee kidogo nife kwa presha $199??? kumbe ni kwa contract bhana!! hebu muwe mnaweka information vizuri khaaa!!
 
acha ipod nano ambayo hata mimi nnayo heheheh, hii ni iphone nano ina umbo dogo kuliko iphone za kawaida na bei yake itakuwa cheaper kuliko izo kubwa, nilikuwa nawatch asubuhi kuhusu iphone 5 na ios6 pia wakazungumzia kuhusu iphone nano na ikaoneshwa sample yake
mkuu siyo iphone nano ni ipod nano ndyo imekuwa announced nimefuatilia kwa karibu sana pindi wana release hii makitu!!
 

mkubwa nawewe hebu pita hapo chini uone kua bei yake ni sawa na ya iPhone 4s na it's around £500 mkubwa
iPhone 5 UK release date is 21 September, pre-order on 14th | CNET UK

The smartphonewill cost $299 for a 32GB version and $399 for a 64GB version, all with a two-year contract.
Hayo maneno hukuyaona?? au ndo ulichanganuikiwa na $199
 
Last edited by a moderator:
GIVENALITY hizo price ni Kama utaingia nao contract for two years. Na kwa Bongo hakuna kampuni ya simu iliyoingia mkataba na Apple kuuza bidhaa zao. It is not cheap as you think
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom