Ni lazima sehemu ya uume ikatwe??

ladha nzuri zote zimekatwa sio mwanume kakata mwanamke ajakata loh!!!kazi ipo
 
Kwenu wana jf..kuna hili swala la kukatwa jando sasa kuna wengine wameamua kuwaacha watoto zao wa kiume mpaka wanaoa unakuta mkewe anamwambia inabidi ukate...sasa basi yawezekana ni utamaduni wa wazungu leo hii tumerudi kwenu je ni lazima kila mwanaume akatwe uume yaani jando..na muda gani mzuri wa kukata ukubwani utotoni???

Alamsiki

Kuepusha magonjwa maana govi linafichA UCHAFU! Vilevile nimewahi kusikia wanaume waliotahiriwa wana asilimia fulani ya kutoweza ambukizwa UKIMWI kuliko wale waiotahiriwa! Nafikiri waliotahiriwa ile ngozi ja kichwa cha Mb** huwa ngumu kuliko wasiotahiriwa na Michubuko siyo rahisi kutokea! Vile vile ktk tamaduni za kiafrika (baadhi) Ni ishara ya ujasiri na ukuaji wa kijana katika jamii! Kuhusu umri sifahamu! Ila kwa wale wakristo kama Sijakosea Yesu alitahiriwa baada ya siku nane baada ya kuzaliwa
 
DAH mimi nashangaa sana eti mtu anasema umwache mwanao ajiamulie akiwa mkubwa kulitoa au kubaki na Govi, hizi fikra ndizo zinazotuharibia watoto wetu na jamii yetu sasa hivi. Mtu kama huyu ni hatari sana. GOVI halina faida yeyote zaidi ya kuweka uchafu na kusaidia maambukizo ya ukimwi. Usipotahiri huwezi hata siku moja enjoy sex. Mwanamke utakayempata atakuchukia kamwe coz lile dude lazima litamuumiza wakati wa penetration. Ukiwa na GOVI wakati wa penetration ile ngozi inarudi nyuma na kujikusanya kwenye shingo ya Mb***. saa panakuwa pametuna sana kiasi utakapo kandamiza mb** iingie lazima umsababishie mwenzio maumivu na hivyo kumfanya mwenza wako asi enjoy kabisa malavidavi. Mwanaume lazima uwe umatahiri bana km una mkono wa sweta wewe si mwanaumehalisi, wenzio lazima watakumegea tu huyu wife au mwenza wako. Utamkunaje mwenza wako na ile ngozi imefunika kichwa?. mimi naona wakati mzuri wa kumtahiri mtoto ni pale anapokuwa mdogo km mwaka hivi au miwili pain na care inakuwa rahisi zaidi.
 
Kutahiri Wanaume


Ukianza kujadili issue ya wanaume kutahiriwa huwa ngumu kama vile kujadili mambo ya siasa na dini.
Wapo watu wenye kukereketwa sana na suala la kutahiriwa na wengine hawana maoni kabisa na hawaoni umuhimu wowote.
Ukweli ni kwamba suala la kutahiriwa ni maamuzi ya wawili mke na mume waliokubaliana kuoana na kuishi pamoja na kufurahia maisha ya ndoa yao, iwe kutahiriwa au kutotahiriwa.
Kwani suala la kutahiriwa limeweka misingi zaidi katika dini na tamaduni za watu kuliko masuala ya Medical.

Kutahiriwa ni nini?
Kutahiri (circumcision) ni neno la kilatini linalotokana na maneno mawili yaani circum (lenye maana ya mzunguko) na ccedere (lenye maana ya kukata)
Hivyo nasi kutahiri ni kukata mzunguko wa ngozi iliyo mbele ya uume.

Kutahiri ni suala la mila na dini na hakuna ubaya wa kutahiriwa na hakuna ubaya wa kutotahiriwa.
Ni lini mwanaume hutahiriwa?
Kutahiri kwa kawaida kunafanyika wakati watoto wa kiume wakiwa na umri mdogo.
Katika baadhi ya mila za Kiafrika, kutahiriwa kunafanyika mvulana anapobalehe na inakuwa kama sehemu ya mafunzo ya jandoni, anapokuwa mwanamume halisi, yaani mtu mzima.
Wanaume wengine huja kutahiriwa baada ya kushauriana na wachumba zao kabla ya kuoana.

Zipi ni baadhi ya faida za kutahiriwa
Usafi na kuepuka magonjwa ya kuambukiza kama vile urinary tract infections (UTI).
Pia inaaminika wanaume ambao wametahiriwa huweza kupunguza maambukizo ya HIV/AIDS (asilimia ndogo sana kama, kutahiriwa si kinga ya kuambukizwa UKIMWI)
Pia wanaume waliotahiriwa huweza kupunguza uwezekano wa kuugua aina ya cancer (penile)
Hupunguza uwezekano wa kuambukizwa magonjwa ya zinaa.

Faida za kuwa na uume usiotahiriwa.
Uume huonekana mrefu zaidi kuliko ule ambao umetahiriwa hivyo kujisikia raha hasa katika suala zima la kumsisimua mwanamke (penetrative sex).
Katika asili, ngozi inayofunika uume (gomvi) husaidia kuzuia sehemu ya ndani ya uume kupata michubuko na kukauka na kupata contamination na kutahiriwa hupunguza hisia (sexual sensation, pleasure, fulfilment) wakati wa sex.
Ngozi inayoondolewa (govi) husaidia kupisha damu kuzunguka vizuri kwenye uume hasa wakati wa sex hivyo kuiondoa ni kuharibu utendaji wa uume.
Je, mwanaume kutahiriwa husababisha kuchelewa kufika kileleni?
Utafiti unaonesha mwanaume aliyetahiriwa uume wake haupo sensitive sana hivyo huweza kuchelewa kufika mapema (ejaculation) ukilinganisha na yule ambaye hajatahiriwa.
Pia mwanaume aliyetahiriwa huweza kumkuna vizuri mwanamke kwa kuwa rim (mzunguko ulio chini ya kichwa cha uume) hutoa msuguano mzuri wakati wa tendo la ndoa.
 
Mungu aliiumba ikiwa Govi, why tukate bana...............halufu si unaosha........mbone structure ya female inaweza kuwa na halufu bt wanaifanya iwe na halufu nzuri....................................................................:plane:
 
Waulizeni wanaume wa kizulu huko SA kwanini sasa wameamua kukata magovi yao! wanaisha na maambukizi ya VVU! Ukija kwangu na ganda lako nitakutoa baruu wewe!!!!!
 
Waulizeni wanaume wa kizulu huko SA kwanini sasa wameamua kukata magovi yao! wanaisha na maambukizi ya VVU! Ukija kwangu na ganda lako nitakutoa baruu wewe!!!!!


Hata kagame aliamrisha wanajeshi wote kuanza kutahiri.
WHO inatambua kuwa kutahiri kwa wanaume kunapunguza maambukizo ya ukimwi hadi asilimia 60. Ile kitu ikitahiriwa inakuwa haipati michubuko kirahisi na wakati huo huo inasugua vizuri na inakuwa safi tu kama kidole. Hata hapa Bongo, ukimwi umewagonga zaidi makabila yasiyo na utamaduni wa kutahiri.

Ni muhimu wanaume watahiri.
 
disadvantages


  1. ni kama mikono ya sweta la shule ya arusha school
  2. inatunza uchafu (utoko) hivyo hata blow-job ni mandanda
  3. kichwa hakikomai hivyo ukimwi nje-nje
  4. sura yake ni soo (kama uso wa kenge)
  5. halufu-halufu
  6. ukimwi nje nje

duh humu kuna watu wamepinda mmenivnja mbavu na hizi hasara
 
Back
Top Bottom