Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,825
- 113,411
😂 itafika zamu yako labda uwe mtakatifu vinginevyo utatendewa kwa kiasi kile kile unachotendea wengine.Wanandoa wanatutania wadau wao 😂😂😂
Niko makini atakayechepuka ninaye lazima mwenzi wake ajue
Alafu jana nilikuona mitaa fulani unapalilia maneno, yani wewe😂