Ahsante kwa ufafanuzi mkuuNi lazima kwa vile zinaongeza morale ...
Allowance hizo kama;
1.Transport and communication allowance
2.security allowance
3.Housing allowance
4.Risk allowance
5.Festival allowance (kipind cha sikukuu)
6.Meal and food allowance
7.Dis -abled allowance ( kwa walemavu au waliopara ulemavu kazini?
8. Tv service package allowance
9.Per diem ( kwa ajili ya safari)
10.Disturbance allowance (usumbufu hadwa katika kuhamishwa)
11.Motivational allowance (hii inatolewa kwa watu wanaofanya katika mazingira magumu haswa waliopo mbali na makao makuu labda vijijini?
Zipo kibao kuna nyingine unapta offer ya kusomeshewa watoto wako.
Ahsante mkuu! Ila ningependa kujua kama unazipambania upewe wakati wa contract negotiation ama huwa fixed na constant kulingana na kampuni?Allowance ni nzuri kwa mfanyakazi zina boost morale na kuongeza ufanisi, kiwango hutegemeana na kiwango cha uzalishaji wa kampuni, inaweza kuwa bidhaa au huduma
Wengine wanaweka kuanzia kwenye tangazo la kazi n wengine during salary negotiation.Ahsante mkuu! Ila ningependa kujua kama unazipambania upewe wakati wa contract negotiation ama huwa fixed na constant kulingana na kampuni?