Kaka ningependa usome kwa utuo uelewe nini nakusudia,au wacha nikuweke sawa.Twende taratibu
Unasema China hategemei soko la US na ulaya kuuza bidhaa zake, si ndio?
Unaweza ukaleta hapa Balanc of Trade baina ya US na China? Pia tutazame BoT ya China na Ulaya?
Naomba tuongee kwa facts ili sasa tujue ni nani muongo.
Binafsi namuona China Kama akiendelea kutumia akili zaidi kuliko nguvu. Afrika tayari ni mali yake.Mrithi unamuona nani? Binafsi simuoni Russia wala China...
Japan na Russia nani mwenye ushawishi kushinda mwenzake ? Korea kusini na Russia nani mwenye ushawishi kushinda mwenzake ? India na Russia nani mwenye ushawishi kushinda mwenzake ? Italy na Russia nani mwenye ushawishi kushinda mwenzake ? Canada na Russia nani mwenye ushawishi kushinda mwenzake ?Mkuu haitaji rocket science kujua hili,ajaribu tu kufikiria kwenye ukoo yule mwenye utajili wakutisha na yule wakawaida ni nani mwenye ushawishi?.Sasa sijui mtu anakuaje na uchumi mkubwa afu asiwe na ushawishi!
Hujapewa alichoandika ,kichwa kizito kama fenesi .Unafahamu kuwa dola la Kirumi lilishikisha na kanisa la Kirumi [ R.C ] , dola la kiottoman lilishikisha na dini ya kiislamu mbona hizi dola zote zilianguka licha ya kuwa zilijishikisha na dini [ Kristo & Kiislamu ] dini zinazo muani Mungu ambaye huyo huyo U.S.A amejishikisha kupitia dini ya kikristo ?
Umelogwa weweMpaka USA kapata status ya superpower ni kwa sababu masupa pawa kabla yake walitwangana hivyo kudondoka kiuchumi...kwa dunia inavyoenda IPO siku USA,China,Russia,UK,germany kitawaka na hapo ndipo mrithi wa USA atapatikana...AFRICA...huo ni mtizamo wangu binafsi kwa kuzingatia historian za nyuma..,.naweza kukosolewa
Kisiasa China ni mwiko kuingilia sera za ndani za taifa lengine, serikali ya China kwa sera za nje ya China haziiruhusu China kuingilia mambo ya ndani ya mataifa mengine ndio maana China haina agenda kama za U.S.A za kulazimisha mataifa mbalimbali yaendane Kama U.S.A na mataifa ya magharibi China anafanya biashara na nchi yoyote pasipo kuingilia namna hiyo nchi inavyo jiendesha na hapa China amejipatia ushawishi mkubwa kwa sera zake za mambo ya nje hasa hasa Afrika , Asia na mataifa mbalimbali ya Amerika kusini.Hicho kitu ndio kinatokea kaka,na China ndio nchi inayopora ushawishi wa USA kiuchumi na kisiasa.
Tukianza na kiuchumi,taktiban mataifa 138 ulimwenguni yamekua yakipata financial aid ikiwemo mikopo na ruzuku kutoka China,kuna ripoti itokayo IMF ilijadiliwa 2020 ikionesha kuwa taifa lililokopesha mataifa mengi ulimwenguni ni China hususan mataifa ya Africa,Asia,south and Central America ambako world population ndipo ilipoelemea,kiviwanda China anachangia 64% ya bidhaa za viwandani mengine kaka yanajulikana.
Kisiasa kaka ntarudi kuelezea navyojua mm kwa upeo wangu.
Yaan haya mawazo mfu sijui hua mnayatoa wapi.. je Kuna dalili ya kuonesha USA anaenda kwanguka?Yeah hiyo Empire inaelekea mwisho. Empire yoyote lazima iwe na wanaume kamili. But now that country has become a Gay country.
Racial discrimination inazidi kukua.
Uchumi wao ni WA makaratasi... Wako kwenye bubble Debt... Italipuka muda wowote.
Plus The elites wameshaitumia USA vya kutosha it time now wanamove kwenye next phase "NEW WORLD ORDER" And since it's new then they will put a new Wolrd Police Country.......
Unge elezea hoja yako katika lugha inayo faa ingekuwa na ujazo zaidi kuliko hiki ulicho fanya.Hujapewa alichoandika ,kichwa kizito kama fenesi .
Amemaanisha freedom of worship iliyopo USA haipatikani sehemu yoyote dunia hii ,na hii inasaidia kuaccomodate watu toka backgrounds tofauti wahindu ,waislamu ,wakristo ,wabudha ,wapagani/atheists pia wanatambulika hata waabudu matambiko na washirikina pia wanauhuru huo pale USA .
Sawa nimekuelewa kakaKwa kiasi fulani hujakosea ila wacha nikukumbushe kitu kaka,UCHUMI WA CHINA UMEKUA BAADA YA KUPANUA WIGO WAKE WA KIBIASHARA TAMBUA HILO,NA KUUZA KWAKE BIDHAA ULAYA SIYO KWA HURUMA BALI KWA UBORA WA TEKNOLOJIA ALONAYO,kipindi USA na hayo mataifa unayoyataja yakiinyanyapaa Afrika mwenzako China aliikumbatia Africa kwa kuleta bidhaa zinazoendana na uchumi wa watu wa Africa,pia umesahau kama construction companies zinazoijenga asilimia zaidi 60 ya dunia ni Chinese construction companies,reli,injini za treni,madaraja n.k mataifa mengi hukimbilia Chinese construction companies hilo pia huongeza pato la nchi usisahau hilo.
UARABUNI kuna pesa kuliko huko ulaya na bidhaa za kichina zimejaa uarabuni kuliko bidhaa za wazungu,mfuatilie mchina vizuri ni mfanyabiashara mzuri na mjanja kaka.
Mkuu umekuja kuharibu nyuzi za watu nini? Kuwa kama mtu mzima anaye jitambua usilete ubishani wa kitoto au wa mtu asiye jitambua kwa kutoa lugha chafu na zilizo jaa kejeli.Umelogwa wewe
huo ni kwa mujibu wa findings zangu kaka ila hata mie ningependa elimu zaidi kwanini USA ameyashikilia haya mataifa makubwa na kwanini hayajaweza kujinasua baada ya vita za dunia?Hili ni swali langu kwako kaka naomba unipe elimu.Sawa nimekuelewa kaka
kisiasa kwa nilivyofuatilia mm kaka China huwa inaheshimu sovereignity ya mataifa mengine.Habari wakuu,
Kulingana na upepo unavyoenda sasa inasemekana ushawishi wa Marekani kisiasa na kiuchumi unakwenda kuanguka kwa kasi. Binafsi sio mtaalam wa siasa za kimataifa hivyo nilikua naomba wadau wenye uelewa wa haya mambo wanisaidie kama hii inshu ni kweli au ni porojo tu za vijiwe vya kahawa.
NB: Tafadhali wakuu naomba tuweke ushabiki pembeni tujadili facts.
Karibuni wakuu
Yapo kaka,labda kudura ya Mungu imchague USA aendelee kubaki.Yaan haya mawazo mfu sijui hua mnayatoa wapi.. je Kuna dalili ya kuonesha USA anaenda kwanguka?
Kumshinda U.S.A sio kitu chepesi Kama baadhi ya watu wanavyo dhani inahitajika akili nyingi zaidi kuliko nguvu nyingi hata China wenyewe hili mara kadhaa kupitia wachambuzi nguli wa kisiasa wa CGTN China wamekuwa wakisema mara kadhaa ninapo kuwa nawa fuatialia target ya China kuifikia uchumi U.S.A ni mwaka 2050 hapo sio kuipita bali ni kuifikia tu na Kuna mawili China inaweza kuifikia au kutoifikia kutokana na sababu mbalimbali hasa hasa ishi ya Taiwan ikiripuka na hii ndio risasi moja kuu U.S.A aliyo nayo kumdhibiti China kama wangelijua haya yanayo tokea sasa hivi U.S.A , U.K na Portugal ishi za Macau na Hongkong wasingekubali zirudi China kiurahisi vile ishu ya Taiwan nayo walijikanyanga hasa hasa U.S.A miaka ya 1971, 1978+ 1979 hapa kwa kweli kwenye hizi ishu Deng Xiaoping na Chairman Mao waliwazidi maarifa na ujanja viongozi wa U.k, Portugal na U.S.A . Wataalamu mbalimbali wa siasa za kimataifa wanasema kwa sasa hakuna ushindani hatari unaotokea Kama wa U.S.A na China hawa wana ushindani wa hatari katika maswala mbalimbali ya kiuchumi, Kisayansi/kiteknolojia na kibiashara makampuni mbalimbali ya U.S.A yanajimegua taratibu kutoka China na makampuni makubwa ya kiserikali kutoka China Yana jitoa kutoka katika soko la hisa la marekani , China kapigwa ban na U.S.A kwenye Chips serikali ya China wamewekeza kiwanda chao kupitia mwanachama wao wa CPC Kama kawaida yao kudevelop Chips making na Sasa hivi kiwanda cha China SMIC kinakuja kwa kasi balaa katika ulimwengu wa Chips mpaka kimekuwa tishio kwa TSMC na marekani , Belt& Road Initiative[ 1 tln dollar wamewekeza ] nao marekani na G- 7 nao wanakuja na ya kwao [ 600bln dollar wamewekeza ] , kwenye space race napo China na Marekani wanatifuana balaa hii Vita ya kibiashara kati ya marekani na China inafurahisha na kuelimisha ukiifuatilia lakini kwa hali inavyo kwenda lazima kuna mmoja kati yao atapotezwa balaa.Inaweza ikatikisika na ikaja kukaa vyema tena. Nakubaliana na wewe kuwa kudondoka kwa US sio suala la leo wala kesho.
Toka miaka ya 60, 80 na 2001 au 2002 iliwahi tabiriwa kufikia 2010 China atakuwa super power, leo tupo 2020 na bado dalili za US kuanguka hazipo ila ni ushabiki tu.
China azidi kujijenga zaidi ktk teknolojia, wazawa kuwekeza zaidi nchini kwao na kukuza pesa yake, huenda hii ikasaidia mno kumpiku US.
Hapa nmekupata mkuu kwamba uchumi hau determine ushawishi wa nchi husikaJapan na Russia nani mwenye ushawishi kushinda mwenzake ? Korea kusini na Russia nani mwenye ushawishi kushinda mwenzake ? India na Russia nani mwenye ushawishi kushinda mwenzake ? Italy na Russia nani mwenye ushawishi kushinda mwenzake ? Canada na Russia nani mwenye ushawishi kushinda mwenzake ?
Huo ndio ukweli hata kam hupendi kuusikia.Kauli simple hizi sio za kutoa hapa mkuu
Nilicho kuwa na maanisha ushawishi haujengwi na uchumi tu kuna sababu zengine pia zinajenga ushawishi mfano ni sisi hapa Tanzania hatuna uchumi mkubwa kama Kenya Ila historia yetu iliyo jengwa na mwalimu wakati wa ukombozi wa Afrika hasa hasa Kusini mwa jangwa la sahara hakuna nchi kwa hapa EAC inayotufikia sisi Kiushawishi na kuaminika .Hapa nmekupata mkuu kwamba uchumi hau determine ushawishi wa nchi husika
Kama hujaiona hutaiona tena. Hata Rome... Egypt... Greece Ottoman Hakuna aliyeona but they all fall. Now us Ina sign zote za fallen empire. Sema mahaba na ushabiki unawapa watu upofu.Yaan haya mawazo mfu sijui hua mnayatoa wapi.. je Kuna dalili ya kuonesha USA anaenda kwanguka?
Tatizo wengi wanadhani ikija ishu ya kuiangusha USA wanaiwaza China na Russia yaani wanawaza vita tu. Wanasahau watu muhimu sana "Watu walioiopandisha USA hapo ilipo" then same people walioingiza Ujamaa China kupitia Mao... Karl max the blood descendant WA Ile familia.... They have used USA enough and now it's time for other to take the lead. We ushajiuliza miaka kibao nyuma China alikuwa Hana hata misuli ya kutunisha wao now hata Ana uwezo WA kuleta mikwara hiyo... Anaipata wapi kiburi hiko???? All of then are puppets... And it will be like the owner of two dogs decided to make then fight and him and his friends wakae pembeni wakifurahi na wakipata mvinyo.Kumshinda U.S.A sio kitu chepesi Kama baadhi ya watu wanavyo dhani inahitajika akili nyingi zaidi kuliko nguvu nyingi hata China wenyewe hili mara kadhaa kupitia wachambuzi nguli wa kisiasa wa CGTN China wamekuwa wakisema mara kadhaa ninapo kuwa nawa fuatialia target ya China kuifikia uchumi U.S.A ni mwaka 2050 hapo sio kuipita bali ni kuifikia tu [emoji1] na Kuna mawili China inaweza kuifikia au kutoifikia kutokana na sababu mbalimbali hasa hasa ishi ya Taiwan ikiripuka na hii ndio risasi moja kuu U.S.A aliyo nayo kumdhibiti China kama wangelijua haya yanayo tokea sasa hivi U.S.A , U.K na Portugal ishi za Macau na Hongkong wasingekubali zirudi China kiurahisi vile ishu ya Taiwan nayo walijikanyanga hasa hasa U.S.A 1978+ 1979 hapa kwa kweli kwenye hizi ishu Deng Xiaoping na Chairman Mao waliwazidi maarifa na ujanja viongozi wa U.k, Portugal na U.S.A . Wataalamu mbalimbali wa siasa za kimataifa wanasema kwa sasa hakuna ushindani hatari unaotokea Kama wa U.S.A na China hawa wana ushindani wa hatari katika maswala mbalimbali ya kiuchumi, Kisayansi/kiteknolojia na kibiashara makampuni mbalimbali ya U.S.A yanajimegua taratibu kutoka China na makampuni makubwa ya kiserikali kutoka China Yana jitoa kutoka katika soko la hisa la marekani , China kapigwa ban na U.S.A kwenye Chips serikali ya China wamewekeza kiwanda chao kupitia mwanachama wao wa CPC Kama kawaida yao kudevelop Chips making na Sasa hivi kiwanda cha China SMIC kinakuja kwa kasi balaa katika ulimwengu wa Chips mpaka kimekuwa tishio kwa TSMC na marekani , Belt& Road Initiative[ 1 tln dollar wamewekeza ] nao marekani na G- 7 nao wanakuja na ya kwao [ 600bln dollar wamewekeza ] , kwenye space race napo China na Marekani wanatifuana balaa hii Vita ya kibiashara kati ya marekani na China inafurahisha na kuelimisha ukiifuatilia lakini kwa hali inavyo kwenda lazima kuna mmoja kati yao atapotezwa balaa.