Tazama misaada inayotoka US na washirika wake, tutaifananisha na China na Russia?Boss,Humu ndani wote ni Watanzania, hakuna mmarekani wala mrusi wala mchina au muiran, kama wapo basi ni wa kuhesabu. Hakuna sababu ya kuwa na uzalendo kwa nchi isiyokutambua kwa kiwango cha kupika uongo kuitetea, tukiweka uzalendo wa nchi za watu pembeni tukaongelea facts USA ana ushawishi kiuchumi kuliko nchi nyingine na uchumi ni silaha bora ya ushawishi wa kidiplomasia. Data zipo wazi, kama kuna mtu ana maelezo tofauti atupe hiyo elimu.
Hakuna anayepinga US hatokuja kudondoka, anaweza akaja kudondoka sababu historia inasema hivyo, lakini je kuna viashiria vya jamaa kudondoka hivi karibuni kama wajumbe wanavyotueleza hapa?Kuna y
Kuna yo yote aliyefikiria himaya ya Kirumi ingekuja kufa? Mtu ambaye angezungumzia hilo wakati huo angeonekana punguani. Vivyo hivyo na Marekani.
DefinitelyUkubwa wa uchumi wa Marekani una mwisho wake, lakini kufikia leo tarehe 29 Aug 2022 kurudi nyuma bado ni uchumi wenye nguvu zaidi duniani.
Kwa technologia mfano ya kijeshi hajamfikia Russia.
Kwani Russia anauchumi mdogo?kitechnoligia tukianzia ya kijeshi Russia yupo mbali Sana mfano Russia ashatengeneza hypesonic weapon wakati marekani bado anastrago.Boss, Umehitimisha kwa kutumia kigezo gani?
Russia ni nchi kubwa yenye nguvu kubwa ya kijeshi. Vita vya Ukraine vimetuonyesha hilo kwa kushuhudia crisis ya energy duniani na mfumuko wa bei(Urusi imechangia Kwa kiasi fulani) sababu Urusi yupo vitani, hata USA hajataka kumprovoke directly sababu anaheshimu nguvu yake ya kijeshi na kuona kuwa direct war na Urusi ni tatizo kwa dunia nzima.(USA walisema hawataki kuingia vitani na Urusi moja kwa moja).
LAKINI, huwezi kutenganisha Nguvu ya uchumi na uwezo wa teknolojia. Uchumi mkubwa unakuwezesha kulipia tafiti za teknolojia. Unapoilinganisha USA na Urusi katika teknolojia huwezi kupuuza nguvu ya uchumi wa hizi nchi mbili.
Angalizo, sijasema kwamba Urusi anazidiwa teknolojia na USA nimetaka utoe elimu ni vigezo vp vinaweza sababisha amzidi ukiachana na nguvu ya kiuchumi.
Alafu Russia anaresources za kutosha Sana.Boss, Umehitimisha kwa kutumia kigezo gani?
Russia ni nchi kubwa yenye nguvu kubwa ya kijeshi. Vita vya Ukraine vimetuonyesha hilo kwa kushuhudia crisis ya energy duniani na mfumuko wa bei(Urusi imechangia Kwa kiasi fulani) sababu Urusi yupo vitani, hata USA hajataka kumprovoke directly sababu anaheshimu nguvu yake ya kijeshi na kuona kuwa direct war na Urusi ni tatizo kwa dunia nzima.(USA walisema hawataki kuingia vitani na Urusi moja kwa moja).
LAKINI, huwezi kutenganisha Nguvu ya uchumi na uwezo wa teknolojia. Uchumi mkubwa unakuwezesha kulipia tafiti za teknolojia. Unapoilinganisha USA na Urusi katika teknolojia huwezi kupuuza nguvu ya uchumi wa hizi nchi mbili.
Angalizo, sijasema kwamba Urusi anazidiwa teknolojia na USA nimetaka utoe elimu ni vigezo vp vinaweza sababisha amzidi ukiachana na nguvu ya kiuchumi.
Ni kweli ushawishi wa marekani unapungua, na hivyo ndivyo dunia hufanya kazi . Usuperpower ni Kama mbio za vijiti muda wako ukifika ukingoni una mkabizi mwenzako.Habari wakuu,
Kulingana na upepo unavyoenda sasa inasemekana ushawishi wa Marekani kisiasa na kiuchumi unakwenda kuanguka kwa kasi. Binafsi sio mtaalam wa siasa za kimataifa hivyo nilikua naomba wadau wenye uelewa wa haya mambo wanisaidie kama hii inshu ni kweli au ni porojo tu za vijiwe vya kahawa.
NB: Tafadhali wakuu naomba tuweke ushabiki pembeni tujadili facts.
Karibuni wakuu
Issue pia ni je baada ya yeye kudongoka ni nani ataibuka.Hakuna anayepinga US hatokuja kudondoka, anaweza akaja kudondoka sababu historia inasema hivyo, lakini je kuna viashiria vya jamaa kudondoka hivi karibuni kama wajumbe wanavyotueleza hapa?
Okey mkuuKwani Russia anauchumi mdogo?kitechnoligia tukianzia ya kijeshi Russia yupo mbali Sana mfano Russia ashatengeneza hypesonic weapon wakati marekani bado anastrago.
Okey passioner255.Alafu Russia anaresources za kutosha Sana.
Hawaelewi hili ,na iko hivyo intentionally kiufupi iko hivi Marekani ndio taifa linaloubdwa na races zote unazozijua katika dunia hii , zote ziko pale kama raia .Haitokaa kuja kuwepo nchi yenye nguvu kama usa..kumbuka usa ni taifa la kila mtu..hao wachina wamejazana usa..waarabu..wahindi..wazungu..waafrika..wareno..waarabu.
Kila race unayoijua duniani ndiyo inaunda usa.
#MaendeleoHayanaChama
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Kama ana akili timamu atakuelewa kwa maelezo haya mafupiBoss, Umehitimisha kwa kutumia kigezo gani?
Russia ni nchi kubwa yenye nguvu kubwa ya kijeshi. Vita vya Ukraine vimetuonyesha hilo kwa kushuhudia crisis ya energy duniani na mfumuko wa bei(Urusi imechangia Kwa kiasi fulani) sababu Urusi yupo vitani, hata USA hajataka kumprovoke directly sababu anaheshimu nguvu yake ya kijeshi na kuona kuwa direct war na Urusi ni tatizo kwa dunia nzima.(USA walisema hawataki kuingia vitani na Urusi moja kwa moja).
LAKINI, huwezi kutenganisha Nguvu ya uchumi na uwezo wa teknolojia. Uchumi mkubwa unakuwezesha kulipia tafiti za teknolojia. Unapoilinganisha USA na Urusi katika teknolojia huwezi kupuuza nguvu ya uchumi wa hizi nchi mbili.
Angalizo, sijasema kwamba Urusi anazidiwa teknolojia na USA nimetaka utoe elimu ni vigezo vp vinaweza sababisha amzidi ukiachana na nguvu ya kiuchumi.
Keshanipa majibu.. 😀Kama ana akili timamu atakuelewa kwa maelezo haya mafupi
Siasa za Marekani zimenadilika sana hasa kwenye utawala WA Trump mengi yalijidhiirisha Kwa washindani wake na wale ambao hawakutaka kusikia au kuelewa kile anachokitaka walipigwa vikwazo mfululizoo ni kama anaona wengi wanahama upande wake hasa nchi zinazochipukia kiuchumi na ushawishi WA China kwenye nchi nyingi maana Hadi nchi za ulaya zinaona China siyo adui tena Ila mshirika sahihi kwenye maswla ya kiuchumi na teknolojiaBiggest economies in 2021 by gross domestic product
Rank Country GDP in billion $ GDP in $ per capita 1 United States 22,996.1 69,288 2 China 17,734.1 12,556 3 Japan 4,937.4 39,285
Boss, Tukiongelea interms of GDP, kufikia 2021 ushawishi wake upo juu. Labda ushawishi katika angle nyingine ila nchi nyingi hupendelea kuwa na diplomasia nzuri na nchi zenye GDP kubwa.
MultipolarIssue pia ni je baada ya yeye kudongoka ni nani ataibuka.
Utoto unakusumbua na kuona kila mada inataka ubishani WA Rusia na MarekaniWaulize hao Hao Pro-Putin ushawashi wa Marekani unaanguka kwenye nyanja ipi uone wanavyotoa macho kama mjusi aliyebanwa na mlango.
Kwanini hajamfikia rusia. Unaweza kukusaidia hapa?Kwa technologia mfano ya kijeshi hajamfikia Russia.
Kwan USA Hana resources za kutosha ndugu..Alafu Russia anaresources za kutosha Sana.
Walioanzisha usa hawakua wajinga..walijua nini kiliangusha falme na mataifa makubwa zamani..hivyo ndio mana walikuja na kitu kinaitwa i God we trust.Hawaelewi hili ,na iko hivyo intentionally kiufupi iko hivi Marekani ndio taifa linaloubdwa na races zote unazozijua katika dunia hii , zote ziko pale kama raia .
Ni rahisi Kwa Marekani kuwatumia hao raia wake wenye races tofauti tofauti kuwapenyeza kama spies na financial hitmen ili kujilinda dhidi ya maadui zake allover the world .
Achana na hili Taifa linaitwa USA