mbongopopo
JF-Expert Member
- Jan 24, 2008
- 1,611
- 765
kazi ni kazi mkuu...Unafanya kazi gani? Kweli unabeba maboxi?Ningependa kuona unaniambia kazi gani unafanya huko nje ya nchi.mfano kama wewe ni chef. Utaandika MIE CHEFBasi tu maaana wabeba maboxi bado kichwani nafikiria mnabeba kweli wengine na elimu zenuNatanguliza ili wanaoogopa ulaya wasidhani ni hali ngumu maisha wakitaka amia huko. Najiwahi - mie nilisoma na kurudi tz.
maboksi yapi hayo wanayoyabeba ya mizigo au ni modern swahiliJamani bongo hari ngumu usipime wala usiambiwe na mtu..kama huamini uliza mabalozi wangapi au unawajua wewe wakitanzania wanapomaliza mda wako wakiwa mabalozi au kustaff wanarudi bongo?
wewe unaishi karne gani? Bado unachagua kazi? Mh umenishangaza sana mkuu!Hii inaonyesha uwezo wako wa kufikiri ulivyo mdogo..hii ndiyo inawafanya watanzania hasa vijana kuwategemezi na kuomba omba(kupiga mizinga)nchi za watu hawachagui kazi na wala kazi ya mwenzio haikusaidii chochote..unafikiri mtu akiwa CEO inakusaidia nini wewe?muhimu nikuwa angalia maisha yako binafsi na farmilia yako.Imagine mtanzania yuko nchi fulani anabeba mabox anatangeneza dollar4,500 kwa mwezi..akirudi bongo ataipata hiyo pesa compuni gani..Napenda kuwatia moyo watanzania wenzangu walioko nje akitafuta cash kwa nguvu zao zote wasikate tamaa mradi unapata chochote cha kuwakumbuka Ndugu zako bongo basi fanya kazi kwa bidii hajarishi hiko katika mazingira gani ya kazi,siku ukisikia kuchoka basi unaweza kurudi nyumbani na tutakupokea na mikono miwili..
Kwahiyo hao wazamiaji nao ni kina mambo safi!?Halafu hawa watu wengi walioko ughaibuni kama hawakwenda kwa pesa za ufisadi wa baba zao basi ni wazamiaji! Kwa maana hakuna mtoto wa mkulima kule Tanganyika Masagati anayewaza ku-afford kwenda ulaya! Halafu wanajifanya wana uchungu na nchi hii! Hawa nao ni sehemu ya kansa ya TZ!
Kwanini mtu anafanya kazi? Ukishajua hilo basi hutajihangaisha kuulizia kazi za watu.
Ukishajua mtu anabeba au kushusha box, kuendesha taxi, kusafisha barabara au hata kutunza wazee so what? Utawapa ajira mbadala unazodhania zinafaa?