Ni kweli upo nje unabeba maboksi?

Kwanini mtu anafanya kazi? Ukishajua hilo basi hutajihangaisha kuulizia kazi za watu.Ukishajua mtu anabeba au kushusha box, kuendesha taxi, kusafisha barabara au hata kutunza wazee so what? Utawapa ajira mbadala unazodhania zinafaa?
Happy ur back, ur so missed here. Things aint the same. Hope e'thing is okay with u.
 
Hii inaonyesha uwezo wako wa kufikiri ulivyo mdogo..hii ndiyo inawafanya watanzania hasa vijana kuwategemezi na kuomba omba(kupiga mizinga)nchi za watu hawachagui kazi na wala kazi ya mwenzio haikusaidii chochote..unafikiri mtu akiwa CEO inakusaidia nini wewe?muhimu nikuwa angalia maisha yako binafsi na farmilia yako.Imagine mtanzania yuko nchi fulani anabeba mabox anatangeneza dollar4,500 kwa mwezi..akirudi bongo ataipata hiyo pesa compuni gani..Napenda kuwatia moyo watanzania wenzangu walioko nje akitafuta cash kwa nguvu zao zote wasikate tamaa mradi unapata chochote cha kuwakumbuka Ndugu zako bongo basi fanya kazi kwa bidii hajarishi hiko katika mazingira gani ya kazi,siku ukisikia kuchoka basi unaweza kurudi nyumbani na tutakupokea na mikono miwili..
Hii ndio mie siielewi wewe ni mmoja ya wa tz msiosoma na kuelewa na kisha kudandia boti linalozama mtazani mnapaaNimeuliza swali wewe unaongelea issue ingine hapa unawahisi watume pesa kwa ndugu hiyo ni business yaoNdio kuna kubeba boxes na wengine wanatumia neno hili wakimaanisha kazi ulaya ila wana good jobs etcUsidanganyike usipokuwa na kazi nzuri hata kama unapata 10k a month uwezi simama na aliesoma na videgree au hadi phd ukajiita mtu hii ipo Tanzania wengi wanatawaliwa na watoto wadogo mabosi wao na wao hawakusoma vile unadhani wana rahaDesign weye ndie unayesubiri pesa za ndugu wa ulaya badala ya kuwaambia wajenge wainvest home kwa ajili ya future yaoKwa ndugu zako wanafanya kazi gani???
 
Kwanini mtu anafanya kazi? Ukishajua hilo basi hutajihangaisha kuulizia kazi za watu.Ukishajua mtu anabeba au kushusha box, kuendesha taxi, kusafisha barabara au hata kutunza wazee so what? Utawapa ajira mbadala unazodhania zinafaa?
Tabu ya watanzania kama nyie ndio a$mjui kuendelea mtu nauliza swali hamujibu halafu unataka niwaeleze nilitaka waambia nini baada ya kuona majibu iwasaidie nini tena kama hamna interest????Mwenzangu mganda kauliza wa kwao majibui aliyopata mazuri na watu wamepewa link ya kuapply for something na ni kitu bomba hakuna tena na wameshukuru sanaaaaaaaaa sasa ambao hawakujibu waliulwa ila sio mbaya kama humuWatu wanataka uongee direct na waongo wachangie haya bahati inaamia kwingineIla umekasirika pole kama nimekugusa hauna kazi ya kuji ringia wewe uonekane mtu
 
cha muhimu ni mkono kwenda kinywani,kwani bongo kunani jamani mbona wakirudi walio wengo wapo poa? kubeba box nje ya nchi si sawa na kubabea box hapa bongo
 
Watu mmeombwa mjibu vijineno mnaandika pumba duh nyie wa tz mtasonyajeeeeeeeee(nimejifunza hii kwenye ku u turn)

Nimeuliza humu duh wa tz wabishi kujibu utazani tutawajua sasa ningetaka majibu ya survey ingekuwaje mngeninyima ukweli ndugu zangu

Bahati imeondoka mtajiju
 
Us imekuwa gumu watu tunatafuta gili kama kumi hivi tujikate zetu kwa nyumbani kama unapata laki kama sita za tz kwa mwezi bora usije us kazi imekuwa gumu sana kupata hata ukipata hailipagi
 
Unafanya kazi gani? Kweli unabeba maboxi?

Ningependa kuona unaniambia kazi gani unafanya huko nje ya nchi.mfano kama wewe ni chef. Utaandika MIE CHEF

Basi tu maaana wabeba maboxi bado kichwani nafikiria mnabeba kweli wengine na elimu zenu

Natanguliza ili wanaoogopa ulaya wasidhani ni hali ngumu maisha wakitaka amia huko.

Najiwahi - mie nilisoma na kurudi tz.

Ndio mimi ninapiga schedule ya box! I'm a proud mmbeba box. Box daima. Karibu sana if you are interested. Box hoyeeeeeeeee
 
Ni afadhali mtu anayebeba box na kujipatia fedha yake halali kuliko yule aliyeko nyumbani lakini anajipatia pesa kwa kukwepa kodi na kuwaibia wananchi wenzie.
 
Unafanya kazi gani? Kweli unabeba maboxi?

Ningependa kuona unaniambia kazi gani unafanya huko nje ya nchi.mfano kama wewe ni chef. Utaandika MIE CHEF

Basi tu maaana wabeba maboxi bado kichwani nafikiria mnabeba kweli wengine na elimu zenu

Natanguliza ili wanaoogopa ulaya wasidhani ni hali ngumu maisha wakitaka amia huko.

Najiwahi - mie nilisoma na kurudi tz.

Kubeba box ni slogan yetu. Hata wabongo ambao ni lecturers, engineers, Medical Doctors nk.
tunawaita wabeba maboksi. Nilijitia umbea wa kurudi bongo na sasa maisha yamekuwa magumu mno. Karata bongo hazichangiki. Bongo pagumu jamani, ningejua nisingerudi. Nikipata upenyo tena wala siangalii nyuma. Wenye kupiga boksi jamani endeleeni huko huko. Kama pesa inaingia na maisha yako poa na huna valid reason ya kukurudisha we jikalie hukohuko tu manake huku kazi hamna, biashara ngumu, kujiajiri is even harder. Heri nilipokuwa Florida angalau nilikuwa sikosi cha kufanya.
Boksi halimtupi mtu hasa pale UPS kwani as a delivery driver mshahara wa $40.00 per hour sio haba. Nisipoangalia hapa Dar nitadata maisha magumu.
 
Kubeba box ni slogan yetu. Hata wabongo ambao ni lecturers, engineers, Medical Doctors nk. tunawaita wabeba maboksi. Nilijitia umbea wa kurudi bongo na sasa maisha yamekuwa magumu mno. Karata bongo hazichangiki. Bongo pagumu jamani, ningejua nisingerudi. Nikipata upenyo tena wala siangalii nyuma. Wenye kupiga boksi jamani endeleeni huko huko. Kama pesa inaingia na maisha yako poa na huna valid reason ya kukurudisha we jikalie hukohuko tu manake huku kazi hamna, biashara ngumu, kujiajiri is even harder. Heri nilipokuwa Florida angalau nilikuwa sikosi cha kufanya.Boksi halimtupi mtu hasa pale UPS kwani as a delivery driver mshahara wa $40.00 per hour sio haba. Nisipoangalia hapa Dar nitadata maisha magumu.
Mkuu, heri umesema ukweli. Kuna watu wana mawazo mgando sana. Wanatamani watz wote turundikane bongo ili tuzikike wote akose hata wa kumsaidia mwenzie. Acheni hizo jamani, watunwanatafuta maisha; iwe kwa kubeba mabox, ujailiamali, kulima, biashara, nk, ilimradi tu shughuli ni halali na inawapatia watu mapato ya ku-make ends meet.
 
bora kubeba mabox kuliko maisha yenu bongo
mimi sio proffesional lakini naondoka na dollar 2000 kwa mwezi
napata hela nyingi kwa mwezi kuliko mbunge wako
then unsave zote au unatumia kwa gharama za maisha dola 2500 kwa mwezi au ndio unalala kwenye box na kushindia mkate nauliza sijawahi kuishi huko
 
bora kubeba mabox kuliko maisha yenu bongo
mimi sio proffesional lakini naondoka na dollar 2000 kwa mwezi
napata hela nyingi kwa mwezi kuliko mbunge wako
Mkuu hata mimi kama hali itaendelea kuwa hivi nadhani nitaenda ughaibuni kupiga box maana nina uzoefu nalo, ila kusema kama unapata pesa nyingi kuliko wabunge wetu hilo sio kweli, wabunge wanaondoka na million 7 Tshilling kwa mwezi, na hiyo haisiani na maposho haya wayanayochukuwa bungeni hivi sasa.
 
Mkuu hata mimi kama hali itaendelea kuwa hivi nadhani nitaenda ughaibuni kupiga box maana nina uzoefu nalo, ila kusema kama unapata pesa nyingi kuliko wabunge wetu hilo sio kweli, wabunge wanaondoka na million 7 Tshilling kwa mwezi, na hiyo (haisiani) na maposho haya (wayanayochukuwa) bungeni hivi sasa.
haisiani, wayanayochukuwa, ni janga la taifa shule za kata kama vile umeme wetu
 
Hii inaonyesha uwezo wako wa kufikiri ulivyo mdogo..hii ndiyo inawafanya watanzania hasa vijana kuwategemezi na kuomba omba(kupiga mizinga)nchi za watu hawachagui kazi na wala kazi ya mwenzio haikusaidii chochote..unafikiri mtu akiwa CEO inakusaidia nini wewe?muhimu nikuwa angalia maisha yako binafsi na farmilia yako.Imagine mtanzania yuko nchi fulani anabeba mabox anatangeneza dollar4,500 kwa mwezi..akirudi bongo ataipata hiyo pesa compuni gani..Napenda kuwatia moyo watanzania wenzangu walioko nje akitafuta cash kwa nguvu zao zote wasikate tamaa mradi unapata chochote cha kuwakumbuka Ndugu zako bongo basi fanya kazi kwa bidii hajarishi hiko katika mazingira gani ya kazi,siku ukisikia kuchoka basi unaweza kurudi nyumbani na tutakupokea na mikono miwili..
Datz wossup....i gatchu wiser.
 
Mkuu hata mimi kama hali itaendelea kuwa hivi nadhani nitaenda ughaibuni kupiga box maana nina uzoefu nalo, ila kusema kama unapata pesa nyingi kuliko wabunge wetu hilo sio kweli, wabunge wanaondoka na million 7 Tshilling kwa mwezi, na hiyo haisiani na maposho haya wayanayochukuwa bungeni hivi sasa.
hahahahaaa!! mtaji ni nguvu zako son cuz per day waweza kumake $400 km utapiga mzigo masaa10...2sigande na bongo milele km sanamu la posta..
 
ahahahahaaaa....mtoa madaaaa... naona "wabeba box wamekukalia kooni mpaka unashindwa kuweka hoja yako vizuri"...anyway.. mie sipo nje ila nipo ndani "NABEBA BOX"...haya nishauri nifanyeje?... au niende nje nikabebe box?... je box la nje linalipa kiasi gani kwa mwezi?.. na overhead za nje ukilinganisha na za ndani zikoje?...ninaweza ku-save kiasi gani nikibeba box nje zaiidi ya kubeba box ndani?...nikipata majibu ya maswali haya naomba nichukue uamuzi....NI MAONI TUUU..nothing personal
 
Back
Top Bottom