Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,428
- 11,850
Hawajui mapenzi washamba hao. Cu...mamaye.
Mkuu kwanini unasema hawajui?
Je unawalinganisha na akina nani hadi useme hawajui?
Basi fahamu ya kuwa siyo kuwa tumeamua kusema wanajua Ila tunasema sababu uzoefu uko hivyo toka zamani Za kale!
Halafu jaribu kujitahidi kuonesha uungwana na ustaarabu japo kidogo hata Kama pengine kwako inakuwa Vigumu !