Ni kweli Tanga ni bingwa wa mapenzi?

Ni kweli Tanga ni bingwa wa mapenzi?

.... Hata kwa ndugu wa mume....
Hawana choyo?!!!!

Ndiyo Mkuu Kwa wastani wanawake wa kitanga hawanaga choyo kabisa majumbani mwao hata Kwa ndugu wa Mume ambapo wanawake wengine wanashindwa kuwapenda!
Wanawake wa kitanga wengi ni wakarimu Kwa wageni na ndugu wote wake na wa Mume !
Siyo Kama wengine wanaosema " nimeolewa na mmoja" [emoji108][emoji108][emoji108]
 
Naskiaga hata mimi eti ndiko mapenzi yalikozaliwa..! chakushangaza mbona hakuongozi kwa kuwa na idadi kubwa ya watu.

Kwa maana high sexual is high reproduction

Penye miti mingi hakuna wajenzi
.........
 
Mie naona tuko vizuri, ila sijui tena wale watani zangu wasioisha kuponda. Teh teh.

ukhuty njoo huku hebu.
 
Mnamwagiwa sifa kila kona ya tz ila shida yenu kuu ni aina ya manukato mnayojifukiza inakera sana
Mmh. [emoji15] [emoji15] [emoji15]

Sasa mwanamke asinukie au unapenda wanuka jasho?

Kunukia kwa mwanamke hasa ikiwa kwa kiasi bila kukera mtu ni muhimu bwana. [emoji85]
 
Jamani nauliza mimi ni mwenyeji na mzawa wa Tanga tangu nasoma(boarding) huko bara nasifiwa sana eti mimi mtu wa Tanga lazima nitakuwa mwingi wa mahaba(labda na uchawi pia japo sipendi kutaja sida hii).

Kwa miongo kadhaa hadi sasa nafanya kazi, mtaani na kazini mimi hulazimishwa "hulka" hizi, hali ambayo imepelekea kupata mitihani mingi toka kwa wenzangu wa jinsia ya pili(wanawake) hivi ni kweli Tanga ni full mahaba? bona sielewi mie hebu nisaidieni watu wa Mikanjuni.

Usagara, Kwanjeka na Ngamiani Kisosora na Mabawa Chuda na Msambweni Mabovu na Majani makubwa.... No.. Majani mapana. Niambieni jamani. Mwanatanga napata shida mie.
Duh!
Asee mie nipo kenya kuna watoto wakali kishenzi kutoka kabila la wakamba noma sana . nina moja anaitwa mutheu ...kitu cha kuotea mbali kwa ujumla wakamba kimaumbile na tabia wako poa . tanga wanazuga tu.nakuja likizo ivi karibuni kama vipi ntakuja nao.
wakamba wamejaliwa afu kwao kuna shida yani ni jangwa so akisikia umetokea bongo wanakuwa na uchu wa kutaka kuolewa na wabongo .
wamebinuka , wanamiguno ya kimapenzi walai mi nachukuwa uraia kenya.
 
Taratibu sheikh
 
Namkumbuka mtanga wangu dah mpaka leo nikimkumbuka nasisimkwa vibaya sana
 
Story za vijiwe vya kahawa usipenda kuziamini sana
 
Kwani wewe hujakulia tanga kwenu iliuyqjue hayo?
 
Namkumbuka mtanga wangu dah mpaka leo nikimkumbuka nasisimkwa vibaya sana
Pole kiongozi ilikuaje tena? alikubwaga nini?
sasa karibu kenya ujipatie new brand kitu kimeenda chuo, kina mguu wa bia hahahaha mke nyonga afu badae utashukuru wana staha si mchezo!
 
Pole kiongozi ilikuaje tena? alikubwaga nini?
sasa karibu kenya ujipatie new brand kitu kimeenda chuo, kina mguu wa bia hahahaha mke nyonga afu badae utashukuru wana staha si mchezo!
Alitegemea mambo makubwa kwangu interms of dolari,

Sasa anashangaa mwanaume kutoka koromije namsukumia mpini tu wakati yeye analikwepesha kwepesha likiuno halafu anaondoka na 5000 tu ya nauli

Basi bhana akanikimbia
 
Back
Top Bottom