- Thread starter
- #61
.... Kumbe neno "MIE" ni tusi huko kwenu Ibinzamata?! Au ni vipi?! Sijakuelewa vizuri....MTOTO WA KIUME UNASEMA 'MIE', UPUNGA HUO..
I mean kwanini hukuamua kumuoa kabisa ili myajenge?
Au yeye ndo alikukataa?
.... Kumbe neno "MIE" ni tusi huko kwenu Ibinzamata?! Au ni vipi?! Sijakuelewa vizuri....MTOTO WA KIUME UNASEMA 'MIE', UPUNGA HUO..
I mean kwanini hukuamua kumuoa kabisa ili myajenge?
Au yeye ndo alikukataa?
Patigoo unajua kusoma vizur?!wewe unasema kwamba umepanga nyumba nzuri na una kazi...mara leo unasoma boarding...
dogo soma acha kuzingua wakubwa zako humu
Age,financially sikuwa poa kiasi cha ku-pay billz za familia na utayari katika suala la kuoa ndo vilinikwamishaI mean kwanini hukuamua kumuoa kabisa ili myajenge?
Au yeye ndo alikukataa?
NakumisAbeeh
Watani zako kabila gn hilo?wazee wa kupondaMie naona tuko vizuri, ila sijui tena wale watani zangu wasioisha kuponda. Teh teh.
ukhuty njoo huku hebu.
Asante usserNakumis
Msalimie shemejAsante usser
Zimefika msalimie na wewe wifiMsalimie shemej
😀wewe unasema kwamba umepanga nyumba nzuri na una kazi...mara leo unasoma boarding...
dogo soma acha kuzingua wakubwa zako humu
Inna received salamZimefika msalimie na wewe wifi
Age,financially sikuwa poa kiasi cha ku-pay billz za familia na utayari katika suala la kuoa ndo vilinikwamisha
Siyo kila mbrazil anajua kucheza mpira,
Siyo kila mchina anajua kucheza kareti,
Siyo kila mzanzibari ni mvuvi,
Siyo kila mtanga anajua mapenzi,
[emoji51] [emoji16] [emoji119] [emoji119]
Mie naona tuko vizuri, ila sijui tena wale watani zangu wasioisha kuponda. Teh teh.
ukhuty njoo huku hebu.
Hawajui mapenzi washamba hao. Cu...mamaye.Ni Kweli kabisa !
Lakini kumbuka mara nyingi tunapotaka kufanya maamuzi huwa tunatumia wastani wa kitu ( basing on average) watu wa Tanga wanaongoza Kwenye tasnia ya Mapenzi wengine wakifuatia!
Hapo ukiachilia mbali mambo mengine yaani (otherthings remain constant).