BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,345
wewe unasema kwamba umepanga nyumba nzuri na una kazi...mara leo unasoma boarding...
dogo soma acha kuzingua wakubwa zako humu
dogo soma acha kuzingua wakubwa zako humu
wana nini !Km huamin nenda kaoe mzigua
[emoji23][emoji23] naona umeanza kuvuta siku hzivi January yeye ni nimbunge wahuko ???.
Inabidi siku moja ili swali halijibu bungeni.
Mm nilijichanganya kwa mdigo. Nilikoma
Hawna kitu hao wazigua uchawi tu ukitaka mambo matamu nenda umakondenKm huamin nenda kaoe mzigua
Duuuh ile jamii ni habari nyingine kitandani. Ukioa mdigo hutawaza kuchepuka. Alikuwa mwanafunz wangu ktk college fulani hapa mjini baada ya kufeli kidato cha nne kule kwao sahare Tanga.Mkuu hebu funguka ikawaje sasa? [emoji1301][emoji1301][emoji1301]
Duuuh ile jamii ni habari nyingine kitandani. Ukioa mdigo hutawaza kuchepuka. Alikuwa mwanafunz wangu ktk college fulani hapa mjini baada ya kufeli kidato cha nne kule kwao sahare Tanga.
Sent from my SM-A8000 using JamiiForums mobile app
Sasa jamani we si ungetoa uthibitisho kuhusu mm jamaniNgoja Shune,emmyta na Mzigua90 waje watuambie
AbeehShunie mzgua90
Ukitoa mwenyewe inapendeza zaidiSasa jamani we si ungetoa uthibitisho kuhusu mm jamani
Ni kweli tunajua mapenzi jamani gusa unaseUkitoa mwenyewe inapendeza zaidi
Dadeki kiuno feniNi kweli tunajua mapenzi jamani gusa unase
Acha kabisa bunooooooo dondoraDadeki kiuno feni
I wish...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acha kabisa bunooooooo dondora
He he uwish mara ngapi sasa na wakati unakuwaga nacho [emoji124][emoji124]I wish...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]He he uwish mara ngapi sasa na wakati unakuwaga nacho [emoji124][emoji124]
Hawna kitu hao wazigua uchawi tu ukitaka mambo matamu nenda umakonden
Duuuh ile jamii ni habari nyingine kitandani. Ukioa mdigo hutawaza kuchepuka. Alikuwa mwanafunz wangu ktk college fulani hapa mjini baada ya kufeli kidato cha nne kule kwao sahare Tanga.
Sent from my SM-A8000 using JamiiForums mobile app