Ni kweli Tanga ni bingwa wa mapenzi?

Ni kweli Tanga ni bingwa wa mapenzi?

bullshark

Senior Member
Joined
Jan 28, 2018
Posts
132
Reaction score
122
Jamani nauliza mimi ni mwenyeji na mzawa wa Tanga tangu nasoma(boarding) huko bara nasifiwa sana eti mimi mtu wa Tanga lazima nitakuwa mwingi wa mahaba(labda na uchawi pia japo sipendi kutaja sida hii).

Kwa miongo kadhaa hadi sasa nafanya kazi, mtaani na kazini mimi hulazimishwa "hulka" hizi, hali ambayo imepelekea kupata mitihani mingi toka kwa wenzangu wa jinsia ya pili(wanawake) hivi ni kweli Tanga ni full mahaba? bona sielewi mie hebu nisaidieni watu wa Mikanjuni.

Usagara, Kwanjeka na Ngamiani Kisosora na Mabawa Chuda na Msambweni Mabovu na Majani makubwa.... No.. Majani mapana. Niambieni jamani. Mwanatanga napata shida mie.
 
Haswaa tanga wanajua mi nilibahatika kupata jiko uko akha najilia vyangu mpaka nakinaika mpka basi wanajua sanaaaa vyote hata mapishi wapo vzuri sana.wadau nendeni huko.
 
Wako vizuri almost Kwenye idara zote ambazo wanaume wengi hutarajia kutoka Kwa mwanamke !
Mapishi, mapenzi, kauli njema, adabu, staha, upendo hata Kwa ndugu wa Mume (hawana choyo).
 
Mnamwagiwa sifa kila kona ya tz ila shida yenu kuu ni aina ya manukato mnayojifukiza inakera sana

Hayo mambo madogo madogo ni ya kuelekezana tu!
Kama umeona vigezo vingi anavyo isipokuwa manukato n.k unamwambia tu "Mpenzi naomba uache kufukiza hayo manukato sababu Mimi hayanifurahishi"
Kama naye anakupenda ataacha bila tashwishwi nakwambia !
 
Naskiaga hata mimi eti ndiko mapenzi yalikozaliwa..! chakushangaza mbona hakuongozi kwa kuwa na idadi kubwa ya watu.

Kwa maana high sexual is high reproduction
 
Naskiaga hata mimi eti ndiko mapenzi yalikozaliwa..! chakushangaza mbona hakuongozi kwa kuwa na idadi kubwa ya watu.

Kwa maana high sexual is high reproduction

Sizani Kama iko hivyo!
Kwani kujua mahaba ndo kusema watu wawe wanakulana kila wakati?
Nazani inategemeana na "other factors " Kama vile awareness ya maswala ya uzazi wa mpango, maswala ya kiimani n.k
Hao ni tofauti na Waha ambao wao mahaba wao sio kiivyo lakini Kwa kulana na kuzaliana nazani wanaongoza na Wapemba!
 
Back
Top Bottom