Ni kweli Rais Samia kayasema Haya?

Ni kweli Rais Samia kayasema Haya?

Tumepigwa Hapo, Mungu Anajua Amemuondoa Mzilankende Mnyago ​

Tuna Kutunza Siri Haa​

 
Tukatae UHUNI Makazini Kwa Nguvu zetu zooote jamani.

Yaani Sekretari anafundishwa kbs na Mkuu Afumbie macho Bosi Wake Akiingiza King'asti.. huu ni Uhuni kbs.
 
Katika pita pita kwenye magazeti ya leo nikakutana na haya maneno kwenye gazeti mojawapo, eti kayasema Mama hivyo wamemnukuu akiongea na Makatibu katika mkutano mkuu wa kitaaluma.

"Uadilifu ni pamoja na kuweka siri za mahali ulipo, Kuweka siri za bosi wako na pale mazingira ya kazi ulipo sio wewe tena umemuona bosi kaingiza king'asti, kwanza unakitazama kwa jicho la kushoto pembeni"

Haya Magazeti jamani yasijekuwa yamemnukuu Mama vibaya...... ! Kama akili yangu inakataa kukubali kuwa huu ndio ushauri wa Mkuu kwa Watumishi..!
Mama anaupiga mwingi
 
Marehemu Magufuli alikuwa anaongea utumbo kuliko haya maneno ya Samia, sidhani kama uliwahi kumshambulia.
Sijamshambulia nimesema alichosema,then usidhani Kila mtu mjinga mjinga tu yupo kwaajili ya kuangalia na kufananisha utawala wa mtu,kama umezoea kusifia sifia kila unapopata maslahi fulani ,utakuwa umepoteza masculine quality
 
Katika pita pita kwenye magazeti ya leo nikakutana na haya maneno kwenye gazeti mojawapo, eti kayasema Mama hivyo wamemnukuu akiongea na Makatibu katika mkutano mkuu wa kitaaluma.

"Uadilifu ni pamoja na kuweka siri za mahali ulipo, Kuweka siri za bosi wako na pale mazingira ya kazi ulipo sio wewe tena umemuona bosi kaingiza king'asti, kwanza unakitazama kwa jicho la kushoto pembeni"

Haya Magazeti jamani yasijekuwa yamemnukuu Mama vibaya...... ! Kama akili yangu inakataa kukubali kuwa huu ndio ushauri wa Mkuu kwa Watumishi..!
Kikikosekana cha kuandika mnaandika nongwa. Fuatilia hotuba za Hayati JPM utasikia matusi haya ya Samia ni madogo sana.
 
Sijamshambulia nimesema alichosema,then usidhani Kila mtu mjinga mjinga tu yupo kwaajili ya kuangalia na kufananisha utawala wa mtu,kama umezoea kusifia sifia kila unapopata maslahi fulani ,utakuwa umepoteza masculine quality
Mkikosa cha kuandika mnaanza uchimvi wa nongwa.
 
Kikikosekana cha kuandika mnaandika nongwa. Fuatilia hotuba za Hayati JPM utasikia matusi haya ya Samia ni madogo sana.

Nongwa inatoka Wapi hapo..!

Wee Watumishi Wanashauriwa Kbs na Raisi Wakiona Bosi 'Kaingiza King'asti' Wauchune.. we Unaona Sawa hiyo?

Ndo maana Kuna mtu Kasema ni sawa na kuruhusu Kugeuza Ofisi Za Umma kuwa Madanguro. Hawajui wabongo huyu Raisi..!
 
Kama ni mfuatiliaji, hayo maneno hayashangazi.

...ni lugha tu.
 
Kuingiza king'asti ofisini ni utovu wa nidhamu, kwahiyo haipaswi kifanywa Siri. Kama rais kayasema haya amekosea sana, maana ni kama anaufagilia ubatili.
Una uhakika au ushahidi gani kama ni kng'asti? Au unakaa mlangoni kusikiliza yanayotendwa au kuongelewa ndani ya ofisi ya bosi wako?
 
Naamini mama kasema vema kwa sababu mtu mwenye madaraka akiteleza ofisini,si yeye tena machoni mwa jamii bali kaifedhesha serkali.Jambo kama hili likitokea kuna maoni ya siri kimandishi ili hatua ziweze kuchuliwa pasipo jamii kujua.Mama hakukosea
Nakubaliana na wewe. Siyo kwamba secretary anyamaze lakini apite njia muafaka kutoa taarifa na siyo kueneza mitaani.
 
Back
Top Bottom