Ni kweli Rais Samia kayasema Haya?

Ni kweli Rais Samia kayasema Haya?

Katika pita pita kwenye magazeti ya leo nikakutana na haya maneno kwenye gazeti mojawapo, eti kayasema Mama hivyo wamemnukuu akiongea na Makatibu katika mkutano mkuu wa kitaaluma.

" Uadilifu ni pamoja na kuweka siri za mahali ulipo, Kuweka siri za bosi wako na pale mazingira ya kazi ulipo sio wewe tena umemuona bosi kaingiza king'asti,kwanza unakitazama kwa jicho la kushoto pembeni"

Haya Magazeti jamani yasijekuwa yamemnukuu Mama vibaya...... ! Kama akili yangu inakataa kukubali kuwa huu ndio ushauri wa Mkuu kwa Watumishi..!
Yes kasema Jana mkutano na masectretary......sikushangaa cos ni mtu wa Pwani......... kwahiyo maneno mengine anajisahau
 
Heee..Kweli..!
Kwa Ushahidi wa video kweli Kasema.

Hapa inamaanisha Sekretari Muadilifu ni yule Anayeyaona 'Machafu'
yanafanyika kwa ofisi afunge mdomo.

Kuna pengo kubwa Sana juu ya 'hofu ya Mungu' nchini.

Nini Kifanyike.. ! WaTz fanyeni dua, Maombi na Sala kufidia hilo Pengo ama sivyo Shetani atatamalaki.
 
Tushapigwa, tumekubali bei ya mafuta na ongezeko la nauli sasa hivi tunajadili king'asti kweli tuna vichwa vya panzi.
 
Kuna vitu vya kukomaa navyo mfano mfumuko wa bei, kuwalipa symbion bil 300 n.k. Ila mnakomaa na vitu ambavyo havina tija
 
Muhimu kuchunga kauli.
Maneno mazuri ni sadaka na kinyume chake pia hivyo hivyo.
 
Katika pita pita kwenye magazeti ya leo nikakutana na haya maneno kwenye gazeti mojawapo, eti kayasema Mama hivyo wamemnukuu akiongea na Makatibu katika mkutano mkuu wa kitaaluma.

" Uadilifu ni pamoja na kuweka siri za mahali ulipo, Kuweka siri za bosi wako na pale mazingira ya kazi ulipo sio wewe tena umemuona bosi kaingiza king'asti,kwanza unakitazama kwa jicho la kushoto pembeni"

Haya Magazeti jamani yasijekuwa yamemnukuu Mama vibaya...... ! Kama akili yangu inakataa kukubali kuwa huu ndio ushauri wa Mkuu kwa Watumishi..!
Kwa hiyo ndio uliyaona hayo tuu?
 
Jamani muwe mnaelewa lugha ya picha na ujumbe uliopo nyuma yake. Hapo katumia neno king'asti kama kusherehesha tu hotuba yake, lakini ujumbe uliokusudiwa ni madili na utunzaji wa siri za serikali/mahali pa kazi hasa kwa makatibu muhtasi. Shida ya vijana wa siku hizi watabeba hilo neno weee kana kwamba ndio ujumbe halisi.
 
Mwanawane Comment yako hii napigia mstari na kuboldi kabisa..!

Hatuwezi kuwa na Viongozi Wahuni wahuni ofisi ya Kazi, tena wengine ofisi za Umma wewe Unaingiza Ving'asti.
Tangu aliposema kila mtumishi ale kwa urefu wa kamba yake niligundua magogoni hatuna mtu tena
 
Siri za bosi kaingiza king'asti......?
"King'asti" mkuu, msaada kidogo msamiati umegonga mwamba!

Kama kawaida ya huyu bibie, kauli zake mara zote ni za utata.
Kwa upande mmoja, ni kweli kabisa kuwa mtumishi ni moja ya matakwa kuweka siri za mambo ya ofisini kwako, lakini hii ina maana hata ukiona mtu anavunja sheria bado unafungwa na maadili hayo?

Anaendeleza kauli zile zile za "Kula kwa urefu wa kamba."
 
Katika pita pita kwenye magazeti ya leo nikakutana na haya maneno kwenye gazeti mojawapo, eti kayasema Mama hivyo wamemnukuu akiongea na Makatibu katika mkutano mkuu wa kitaaluma.

" Uadilifu ni pamoja na kuweka siri za mahali ulipo, Kuweka siri za bosi wako na pale mazingira ya kazi ulipo sio wewe tena umemuona bosi kaingiza king'asti,kwanza unakitazama kwa jicho la kushoto pembeni"

Haya Magazeti jamani yasijekuwa yamemnukuu Mama vibaya...... ! Kama akili yangu inakataa kukubali kuwa huu ndio ushauri wa Mkuu kwa Watumishi..!
Ni kweli kwani kuna ajabu gani hapo
 
Jamani muwe manaelewa lugha ya picha na ujumbe uliopo nyuma yake. Hapo katumia neno king'asti kama kusherehesha tu hotuba yake, lakini ujumbe uliokusudiwa ni madili na utunzaji wa siri za serikali/mahali pa kazi hasa kwa makatibu muhtasi. Shida ya vijana wa siku hizi watabeba hilo neno weee kana kwamba ndio ujumbe halisi.
Basi inatakiwa umpeleke semina huyu bosi aachane na tabia za kutumia maneno yanayobadili maana ya yale aliyokusudia kuiwasilisha.
Kama wewe huoni tatizo hilo, basi nyote wawili hamfai kuwa viongozi
 
King'asti ni kidem ambacho hakijavaa chupi kipo tayari kuliwa muda wwte
Kama hii ndiyo maana ya hilo neno, basi Samia hana tofauti na Magufuli katika kauli zao.

Kwa hiyo hii nayo iwe ni siri ya kiofisi, maadili ya kiofisi?

Hii ina maana kubwa zaidi. King'asti kinaweza kuwa mali za waTanzania zikivurugwa na kuhamishwa katika "ufunguzi wa nchi", na kama wewe ni mtumishi wa serikali, maadili anayosimamia Samia ni pamoja na kuweka iwe siri ya ofisi.
 
Utovu wa nidhamu kwa sheria ipi?

hayo ni mambo binafsi ya Bosi cha msingi yasiharibu utendaji kazi wake

Kuingiza king'asti ofisini ni utovu wa nidhamu, kwahiyo haipaswi kifanywa Siri. Kama rais kayasema haya amekosea sana, maana ni kama anaufagilia ubatili.
 
Labda kwa kuwa kasema Hilo la king'asti, hata hivyo huruhusiwi kuzungumzia mambo ya kiofisi nje ya ofisi. Hiyo ni kawaida. Ni sawa na nesi kuzungumzia mambo ya hospital mitaani.
 
Utovu wa nidhamu kwa sheria ipi?

hayo ni mambo binafsi ya Bosi cha msingi yasiharibu utendaji kazi wake
Huoni upotofu wowote kwa mtumishi wa umma kuigeuza ofisi kuwa danguro? Au huelewi maana ya neno king'asti?
 
Wewe unaelewa maana ya Danguro?

mchepuko wako akija ofisini kuchukua pesa ya matumizi au kukusalimia ofisi inakuwa imegeuka Danguro ?

Huoni upotofu wowote kwa mtumishi wa umma kuigeuza ofisi kuwa danguro? Au huelewi maana ya neno king'asti?
 
Back
Top Bottom