Sasa hiyo unaona sawa? Yaani mida ya kuwatumikia wananchi mchepuko anakuja ofisini??!!Wewe unaelewa maana ya Danguro?
mchepuko wako akija ofisini kuchukua pesa ya matumizi au kukusalimia ofisi inakuwa imegeuka Danguro ?
Sasa hiyo unaona sawa? Yaani mida ya kuwatumikia wananchi mchepuko anakuja ofisini??!!Wewe unaelewa maana ya Danguro?
mchepuko wako akija ofisini kuchukua pesa ya matumizi au kukusalimia ofisi inakuwa imegeuka Danguro ?
Sasa hiyo unaona sawa? Yaani mida ya kuwatumikia wananchi mchepuko anakuja ofisini??!!
Mkuu Gagnija...upo kumbe...nafurahi kukuonaKing'asti ndio kitu gani?! Tusaidieni na sie wa ukuryani.
Nipo mkuu.Mkuu Gagnija...upo kumbe...nafurahi kukuona
Hhahaaaa;King'asti ndio kitu gani?! Tusaidieni na sie wa Ukuryani.
You laugh at me for not knowing what king'asti means?!Hhahaaaa;
Imani inazama ndani ya nafsi ya mtu.Kumbe kuvaa juba muda wote haimaanishi umewiva kiimani...!
King'asti siyo mchepuko; king'asti ni neno la mtaani lenye maana ya "mtu ambaye una mahusiano naye ya kimapenzi"
Anaweza kuwa mpenzi wa kike au wa kiume.
Rejea pia wimbo Mr. Nice.. alimwimba king'asti wake
Nafikiri ujumbe wa Rais Samia ni "utunzaji wa siri na kuwa na heshima kazini"
Yaani tushindwe wenyewe tu awamu hii kila kitu ruksa.
Yaani ni Rasmi sasa watumishi wa umma wameruhusiwa kupigana miti kwenye meza za maofisi yao.Aisee !
1. Kula kwa urefu wa kamba mbovu rukhsaaaa
3. Ving’asti rukhsaaa
4. Kuparurana rhuksaaa
5. Kunana migongoni rukhsaaa
.
.
.
.
.
Rais tuliyenae hana hofu ya Mungu.Heee..Kweli..!
Kwa Ushahidi wa video kweli Kasema.
Hapa inamaanisha Sekretari Muadilifu ni yule Anayeyaona 'Machafu'
yanafanyika kwa ofisi afunge mdomo.
Kuna pengo kubwa Sana juu ya 'hofu ya Mungu' nchini.
Nini Kifanyike.. ! WaTz fanyeni dua, Maombi na Sala kufidia hilo Pengo ama sivyo Shetani atatamalaki.
Ni kuidhalilisha taasisi ya urais.Na hapa anachochea vitendo vya uzinzi hadharani kabisa tena akitumia podium yenye nembo ya Taifa letu.