Ni kweli Rais Samia kayasema Haya?

Ni kweli Rais Samia kayasema Haya?

Una uhakika au ushahidi gani kama ni kng'asti? Au unakaa mlangoni kusikiliza yanayotendwa au kuongelewa ndani ya ofisi ya bosi wako?
Nadhani swali hili aulizwe Samia aliyekemea kuingiza king"asti ofisini.
 
Katika pita pita kwenye magazeti ya leo nikakutana na haya maneno kwenye gazeti mojawapo, eti kayasema Mama hivyo wamemnukuu akiongea na Makatibu katika mkutano mkuu wa kitaaluma.

"Uadilifu ni pamoja na kuweka siri za mahali ulipo, Kuweka siri za bosi wako na pale mazingira ya kazi ulipo sio wewe tena umemuona bosi kaingiza king'asti, kwanza unakitazama kwa jicho la kushoto pembeni"

Haya Magazeti jamani yasijekuwa yamemnukuu Mama vibaya...... ! Kama akili yangu inakataa kukubali kuwa huu ndio ushauri wa Mkuu kwa Watumishi..!
Sasa wewe unabisha kuwa akusema hayo [emoji849][emoji849]
Kwani ninapo waambia viongozi wengi wanawake wamepata nafasi hizo kwa kutumia tobo zao za chini nasi Akili zao vichwani amni amini.... hivyo hapo mama anakumbushia enzi zake tu
 
Kuingiza king'asti ofisini ni utovu wa nidhamu, kwahiyo haipaswi kifanywa Siri. Kama rais kayasema haya amekosea sana, maana ni kama anaufagilia ubatili.
Sasa unajuaje kama yeye mwenyewe kafika hapo kwa kutumia meza za ofisi na tobo ya chini sasa ulitegemea aseme ni kosa kuingiza vingasti kwenye ofisi za serikali[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mjambiani ubongo wake umekufa ni koro kamili
 
King'asti siyo mchepuko; king'asti ni neno la mtaani lenye maana ya "mtu ambaye una mahusiano naye ya kimapenzi"

Anaweza kuwa mpenzi wa kike au wa kiume.

Rejea pia wimbo Mr. Nice.. alimwimba king'asti wake

Nafikiri ujumbe wa Rais Samia ni "utunzaji wa siri na kuwa na heshima kazini"
Sasa king'asti anaweza kuwa mchepuko hivyo king'asti ni zaidi ya mchepuko
 
Sasa unajuaje kama yeye mwenyewe kafika hapo kwa kutumia meza za ofisi na tobo ya chini sasa ulitegemea aseme ni kosa kuingiza vingasti kwenye ofisi za serikali[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mjambiani mpumbavu ubongo wake umekufa ni zuzu kamili
Kuwa na heshima kidogo basi kwa rais wetu. Ukiambiwa utoe uthibitisho utautoa?
 
Sasa ushahidi wa nini wakati nimesema "unajuaje kama yeye mwenyewe " au ujui kiswahili si tulisikia akisema siku za nyuma kuhusu rushwa za ngono .....[emoji849][emoji849]
 
Nongwa inatoka Wapi hapo..!

Wee Watumishi Wanashauriwa Kbs na Raisi Wakiona Bosi 'Kaingiza King'asti' Wauchune.. we Unaona Sawa hiyo?

Ndo maana Kuna mtu Kasema ni sawa na kuruhusu Kugeuza Ofisi Za Umma kuwa Madanguro. Hawajui wabongo huyu Raisi..!
Anaoongea nao ni watu wazima. Na kama unafikiria kama mtu mzima hayo ni masuala madogo sana.

Ulimsikia hayati JPM alivyokuwa anawauliza Ali Kiba na Diamond siku ile mwaka 2020 kule Dodoma alipowakaribisha ikulu?.
 
Sasa wewe unabisha kuwa akusema hayo [emoji849][emoji849]
Kwani ninapo waambia viongozi wengi wanawake wamepata nafasi hizo kwa kutumia tobo zao za chini nasi Akili zao vichwani amni amini.... hivyo hapo mama anakumbushia enzi zake tu
Kwa kweli huu ni ukosefu wa adabu kwa akina mama wote.
 
Duh
 
Katika pita pita kwenye magazeti ya leo nikakutana na haya maneno kwenye gazeti mojawapo, eti kayasema Mama hivyo wamemnukuu akiongea na Makatibu katika mkutano mkuu wa kitaaluma.

"Uadilifu ni pamoja na kuweka siri za mahali ulipo, Kuweka siri za bosi wako na pale mazingira ya kazi ulipo sio wewe tena umemuona bosi kaingiza king'asti, kwanza unakitazama kwa jicho la kushoto pembeni"

Haya Magazeti jamani yasijekuwa yamemnukuu Mama vibaya...... ! Kama akili yangu inakataa kukubali kuwa huu ndio ushauri wa Mkuu kwa Watumishi..!
Nilimuona akiyasema kabisani kweli.
 
Kwa kweli huu ni ukosefu wa adabu kwa akina mama wote.
Nikweli ila ndiyo ukweli wenyewe wewe umuoni mbowe chadema anavyo watindua ...anawapapasa nao wanampapasa awapalulani[emoji179][emoji179][emoji179][emoji179]
 
Back
Top Bottom