Ni kweli Prof Muhongo anahujumiwa?

Ni kweli Prof Muhongo anahujumiwa?

Muhongo amewabana mafisadi wakiokuwa wana makampuni binafsi ya kutoa huduma tanesco kwa njia za kifisadi
Hicho ndiyo kitu pekee kinachowawafanya wamchaue muhongo siyo vinginevyo mafisadi miradi yao na Tanesco sasa imekwama wanaona mchawi ni muhongo tunasema kwenye hili jk usikosee kumtoa tunataka aendelee kuweka mambo sawa pale wizara ya nishati na madini wizi wa akina mengi na mkono na wenzi wenzao umefika mwisho hizo bilioni 62.2 alizolipwa mkono yatosha sasa.
 
Swali dogo tu.. Kwanini aliongopa pale bungeni alivyodai ya kuwa yule mwanasheria wa Tanesco hakutumwa na mwajiri wake kwenda kufanya due diligence kule Malaysia..? Na akadai kabisa kwamba aliishauri bodi imshtaki kwa kudanganya..?
 
Mkuu, hakika kwenye hili suala la escrow kuna watu wanajitoa ufahamu kabisa
Sure mkuu lakini hapo ndipo utajua kuwa pesa mbaya kama inaweza kununua mpaka wabunge wakaimba nyimbo za mafisadi hatari sana mbatia kajengewa ghorofa kwenye hili sakata kazi kweli.
 
Kwa jinsi ESCROW ilivyoshupaliwa na Wabunge huku Wakisakamwa watu wawili tu waliokwishatoautiana na wafanyabiashara
Kama MENGI huhitaji kujiuliza maswali kuwa wameonewa
 
Swali dogo tu.. Kwanini aliongopa pale bungeni alivyodai ya kuwa yule mwanasheria wa Tanesco hakutumwa na mwajiri wake kwenda kufanya due diligence kule Malaysia..? Na akadai kabisa kwamba aliishauri bodi imshtaki kwa kudanganya..?
Zitto alipotoaha muhongo alisema hivi,yule mwanasheria alimdanganya mwajiri akapata hiyo ruhusa kwa madai kuwa anakwenda na mwakilishi toka kwa AG kumbe anakwenda mwenyewe ili akafanye dili zake pia alizokuwa ameahidiwa na wazungu wake.
 
Sure mkuu lakini hapo ndipo utajua kuwa pesa mbaya kama inaweza kununua mpaka wabunge wakaimba nyimbo za mafisadi hatari sana mbatia kajengewa ghorofa kwenye hili sakata kazi kweli.
Pesa ilimuua yesu, itawaachaje binadamu kama ZITTO na KAFULILA
 
Hakika Mkuu. Mengi anaiweka nchi yetu kwenye wasiwasi mkubwa
Lakini nadhani ifike wakati wanausalama wshughurike na watu kama mengi mbona kenya watu kama hawa wanatunguliwa na habei yao inakwisha mapema kabisa hatuwezi kuwa na mtu anayetaka mafanikio yake pekee huku akimwagia watu wengi mchanga kisa tu anavicenti vyake vya wizi na dhuruma.
 
Hizi porojo zote za nini? Tunamtaka JK aachane na mihemuko ya wanasiasa amuache prof. Apige mzigo
 
Swali dogo tu.. Kwanini aliongopa pale bungeni alivyodai ya kuwa yule mwanasheria wa Tanesco hakutumwa na mwajiri wake kwenda kufanya due diligence kule Malaysia..? Na akadai kabisa kwamba aliishauri bodi imshtaki kwa kudanganya..?
Wewe una uthibitisho au zile swaga za MBOWE bungeni
 
Chuki zenu na mengi kwa muhongo zitawafikisha pabaya sana ila mungu atasimama na muhongo daima hana kosa ni hujuma na fitina za wafanyabiashara mafisadi waliobanwa kuinyonya wizara ndiyo chanzo cha muhongo kuchukiwa.

Hakuna chuki hapa, kwahiyo nikimtetea kama unavyotaka ndio utaona nimesema vyema? Mengi ni nani katika nchi hii hadi aweze kusababisha waziri afukuzwe?

Huyu bwama muhongo amejipambanua na kujigamba kuwamba ni Booonge la profesa, sasa profesa gani anaruhusu Taifa lipate hasara kubwa kiasi hicho?

Pamoja na kuwa pengine hela nyingi wamepata yeye na Mama Tibaijuka; wamejivika aibu, wamewavika WANAOJIITA wasomi wenzao aibu, wamelivika taifa aibu na Bara zima la Afrika

Wasomi gani badala ya kubuni mradi utakaowafanya wawe mabilionea kwa akili zao mfano wa waliotengeneza simu za mkononi, vifaa tiba, madawa ya ebola na kadhalika, wao wanaanda mpango wa kuwaibia wananchi maskini halafu unataka tuwasifu.

Wewe wasifu na kuwatetea upendavyo lakini usilazimishe kila mtu awe na mtazamo huo
 
Muhongo amaziba mianya ya wizi ya wafanyabishara wasiokuwa na uzalendo ndiyo maana kutwa wanamtafuta angalia mengi na mkono wanavyomwandama kisa tu mengi amekosa kitaru cha gesi na mkono kuondolewa kuwa advocate wa Tanesco baada ya kubaini kuwa anafanyabishara badala ya kuitetea Tanesco.

Bado tu hujaamini?
 
Chuki zenu na mengi kwa muhongo zitawafikisha pabaya sana ila [mungu atasimama na muhongo] daima hana kosa ni hujuma na fitina za wafanyabiashara mafisadi waliobanwa kuinyonya wizara ndiyo chanzo cha muhongo kuchukiwa.

Hapo kwenye red ni uongo mtupu

Mungu Alisha muwacha muhongo siku nyingi na wala hawezi kua pamoja nae, ndio mana mashekhena na mapadiri walijaribu kumuombea kwa mungu bila mafanikio

Ukiondoa mungu wa hao wanaomuombea, mungu yupi unataka awe na Mohongo??
 

Attachments

  • 1417532784025.jpg
    1417532784025.jpg
    31.5 KB · Views: 106
Wewe una uthibitisho au zile swaga za MBOWE bungeni

Ndo tatizo lenu hilo.. Huyo mwanasheria mwenyewe ndo alionyesha hiyo barua ya kwenda huko Malaysia toka Tanesco.. Sasa swaga ziko wapi..?
 
ukisoma hapa itakuongezea marifa zaidi.
[h=2]Ukiondoa sababu ya kutoelewana na Reginald Mengi, sijaona sababu ya Prof. Muhongo kung'oka[/h]
Wana jamvi, ni matumaini yangu kuwa bado mnaendelea kutafakari mapendekezo hovyo ya Kamati ya PAC yaliyozaa maazimio hovyo ya Bunge juu ya sakata la Akaunti ya ESCROW. Mjadala mkubwa hapa JF kwa sasa ni juu ya sababu ya msingi ya kuondolewa kwa baadhi ya mawaziri kwa kuhusika kwao na sakata la ESCROW achilia mbali utata uliogubika mwenendo mzima wa uchunguzi wake. Ni bahati mbaya sana Ripoti ya CAG haikuainisha makosa ya msingi ya kuondolewa kwa Waziri wa Nishati na Madini, Sospeter Muhongo au hata Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Eliakim Maswi. Hakika hawa jamaa nawaadimire sana kwenye kazi zao. Wameleta displine kwa shirika la umeme na wamevuruga sana miradi ya kifisadi ambayo ilikuwa inapoteza mapato mengi sana ya TANESCO.

Wadau, kuna msemo usemao kuwa mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Ni aibu kwa kamati ya PAC kupendekeza waziri na Katibu Mkuu wa Nishati na Madini wang'oke kwa sababu zisizoeleweka. Eti wanasema kuwa Waziri anaondolewa kwa kusema kwake uongo bungeni. Haya tuambieni, kauli aliyotoa Muhongo ni ile ile aliyotoa Waziri Mkuu Pinda kuwa fedha zile si mali ya serikali wala TANESCO bali ni mali ya IPTL. Pia Naibu Waziri Stephen Maselle alitoa kauli hiyo hiyo ambayo ilitokana na ruling ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Werema. Sasa hapo kosa la Muhongo na Maswi lipo wapi?

Sababu ya pili iliyoainishwa na akina Zitto eti ndo sababu ya Waziri Msomi tena aliyeliletea manufaa makubwa shirika na wizara kwa ujumla wanasema ni kuwa dalali. Eti kwa vile wamiliki wa IPTL na wa PAP walikutana ofisini kwake. Hakika inashangaza sana. Yaani waziri na Katibu Mkuu hawaruhusiwi kukutana na wawekezaji wawe fake au halali? Nani anatambua kuwa mwekezaji fulani ni fake au halali? Hakika inachelesha sana. Nimefuatilia mijadala juu ya sababu ya kuondolewa kwa Viongozi hawa hakika kila mmoja anajikanyaga.

Jamani ifike wakati tuwe wakweli kusema ukweli. Wengi waliopiga kelele ili Maswi na Muhongo waondoke ni wale wale ama waliwahi kukwaruzana hapo nyuma kama ilivyo kwa Ole Sendeka dhidi ya Muhongo, au Kafulila dhidi ya Maswi. Usitegemee kuwa hawa wabunge watakuwa mabalozi wa mahasimu wao.

Wengine wanaopiga kelele ni wale waliotajwa kula mlungula kutoka kwa Reginald Mengi. Tena hawa walikuwa wanaongea kwa jazba kubwa utafikiri wana uchungu kumbe wanatetea rushwa waliyokula. Binafsi hii ndo naona sababu ya msingi ya Muhongo na Maswi kuondolewa. Rushwa rushwa rushwa. Mbowe ananuka rushwa. Zitto ananuka rushwa. Kafulila ananuka rushwa. Mbatia ananuka rushwa. Mnyika ananuka rushwa. Ole sendeka ananuka rushwa. Serukamba ananuka rushwa nk nk. Ndo maana Spika wa Bunge amekemea sana wabunge kupewa fedha kutoka kwa wafanyabiashara ili wawasulubu Mawaziri. Hii ndiyo sababu ya msingi.

This is a last kick of the dying donkey.
 
Pamoja na kutupandishia bei ya umeme bado Tanesko imeendelea kupata hasara kubwa mwaka hadi mwaka[/Q
OTE]

USIKARIRI MKUBWA, JIULIZE NINI KINASABABISHA HASARA TANESCO?MIKATABA YOTE YA KUZALISHA UMEME INAYOIGHARIMU FEDHA NYINGI HAKUISANI YEYE.KUZEEKA KWA MITAMBO KUNAHITAJI SERIKALI KUPITIA BAJETI IWEKEZE.WADAIWA SUGU KAMA SMZ.JESHI NA TAASISI ZA UMMA NI KAZI YA CEO NA WALE WANAOBEMBELEZA MUUNGANO WA KIJINGA.
 
Kosa lake kuu ni kule kudanganya umma kuwa fedha ktk a/c ya escrow haikuwa ya umma .Kumbuka kuwa iptl ilikuwa bado haijalipwa madai yake aidha bot ilihifadhi fedha hizo toka wizarani na tanesco kwa hiyo zilikuwa za umma
 
Back
Top Bottom