Ni kweli Prof Muhongo anahujumiwa?

Ni kweli Prof Muhongo anahujumiwa?

Muhongo amaziba mianya ya wizi ya wafanyabishara wasiokuwa na uzalendo ndiyo maana kutwa wanamtafuta angalia mengi na mkono wanavyomwandama kisa tu mengi amekosa kitaru cha gesi na mkono kuondolewa kuwa advocate wa Tanesco baada ya kubaini kuwa anafanyabishara badala ya kuitetea Tanesco.

Mbona umesahau kusema kwamba tangu ateuliwe katika Wizara hiyo Tanesco imekuwa ikipata hasara zaidi ya mara mbili na chini ya Mawaziri wengine, licha ya kwamba aliongeza bei ya umeme maradufu na kufanya kupanda kwa gharama za maisha nchini?!
Ova
 
Jamaa anaujumiwa sn tu maana kama kweli hakuna mhusika mkuu kama benki kuu ambayo ipo chini ya wizara ya fedha pia ukiukwaji wa kutoza kodi uliofanywa na
 
na nyie mamburumunda mlio tumwa kuja kuweka mambo sawa huku tumewachoka sasa kwa ujinga wenu , mmekaza mamisuli kumtetea mtu muongo wa wazi kabisa! Tokeni zenu na ujuha wenu.

nikikutathimini, wewe una akili ndogo na kama uliwahi kufauru mtihani wowote basi ni bahati au uliibia.yeyote mwenye akili nzuri anaona kilichokuwa kinaendelea dhidi ya muhongo,maswi na tiba ni mbinu chafu za mfanyabiashara asiyejua hata kuongea mwenye kuweza kuoa hata kitukuu chake akishirikiana na wanasiasa maslai .mmepofuka hata msione ninyi watu.the majority is always wrong.
 
makosa ya prof ni kulidanganya bunge kwa kusema fedha za escrow si za umma, na kauli hii iliirudia mara kadhaa, ninaamini kwa kuwa sakata hili ni la muda na limejitokeza bungeni mara kadhaa hivyo viongozi wote waliohusika walikuwa wakikutana na kujadili suala hili na maelezo ya prof kung'ang'ania kauli yake ni dhahiri ilikuwa kutii kiapo chake cha kutokutoa siri. Na ndio sababu niionayo mimi ag alisema atasimama na wote waliofuata ushauri wake. Binafsi hilo ndilo nilionalo kosa lake kutii kiapo kwenye hamna. Ama kwa upande wa pili naona anasakamwa na wivu, chuki naye kwa jinsi alivyoweza kuwanyima wafanyabiashara mwanya wa kujitwalia rasilimali zetu kwa manufaa yao binafsi, pia ile kujiamini kupita kiasi kupelekea kuwapa makuvu live baadhi yao na baadhi ya wanasiasa wanaotumiwa na wafanyabiashara hao. Lakini kwa utendaji kazi ndani ya wizara tangu wizara hii ianzishwe ame-transform mambo mengi ya wizara kulko mawaziri waliomtangulia.


pesa za umma zinatafuta nini escrow?kumbuka muhongo hajahusika na kuja kwa iptl nchini.huduma mmepata kwa mujibu wa mkataba,sasa pesa ziwe zenu kivipi?
 
Chuki zenu na mengi kwa muhongo zitawafikisha pabaya sana ila mungu atasimama na muhongo daima hana kosa ni hujuma na fitina za wafanyabiashara mafisadi waliobanwa kuinyonya wizara ndiyo chanzo cha muhongo kuchukiwa.[/QUO
TE]


MENGI MNAFIKI TU,ANATAKA FAVOUR KWA RASILIMALI ZETU ALAFU BAADAYE ANAJIFANYA ANASAIDIA JAMII YETU ALAFU KWA KUJIONESHA KWENYE VYOMBO VYAKE ILI APATE SIFA.MBONA KWANZA BIASHARA HALISI YA MENGI HAIKO WAZI KAMA BAKHARESA.USINIAMBIE MAGAZETI,RADIO,TV NA MAJI!
 
Mbona umesahau kusema kwamba tangu ateuliwe katika Wizara hiyo Tanesco imekuwa ikipata hasara zaidi ya mara mbili na chini ya Mawaziri wengine, licha ya kwamba aliongeza bei ya umeme maradufu na kufanya kupanda kwa gharama za maisha nchini?!
Ova

mwenzako zitto alikuwa anapiga anapiga siasa halafu na wewe umemeza kama yalivyo aibu yako wanasiasa uchwara watawapeleka kubaya mwaka huu ila kiukweli hata mimi naungana na wote wanaopenda muhongo abaki.
 
Hili sakata la ESCROW dawa yake ni kujitoa mhanga ili ujumbe ufike vizuri kwa wahuska.Kwa UNAFIKI niliouona katika kile wabunge walichoita MARIDHIANO katika kutoa maazimio ya ripoti ya PAC ni wazi Prof.Sospeter Mhongo AMEONEWA!!
Waliomsafisha M.K.P.Pinda hawalimsahau Mhongo,Tibaijuka,Werema na Maswi kwa makusudi tena wamewaonea sana,hili J.M.Kikwete analijua vizuri;hata MUNGU anajua hakuna alie msafi zaidi ya Wapiga kura.
Mimi nimeapa kushughulika nao mmoja baada ya mwingine,na hili ni zawadi kwa familia yangu nchi yangu na nafsi yangu.
 
Chuki zenu na mengi kwa muhongo zitawafikisha pabaya sana ila mungu atasimama na muhongo daima hana kosa ni hujuma na fitina za wafanyabiashara mafisadi waliobanwa kuinyonya wizara ndiyo chanzo cha muhongo kuchukiwa.[/QUO
TE]


MENGI MNAFIKI TU,ANATAKA FAVOUR KWA RASILIMALI ZETU ALAFU BAADAYE ANAJIFANYA ANASAIDIA JAMII YETU ALAFU KWA KUJIONESHA KWENYE VYOMBO VYAKE ILI APATE SIFA.MBONA KWANZA BIASHARA HALISI YA MENGI HAIKO WAZI KAMA BAKHARESA.USINIAMBIE MAGAZETI,RADIO,TV NA MAJI!

mengi mwizi tu wa mali zetu halafu anajifanya kula chakula na albino anafunika maovu yake kibao huyu mzee mbaya sana.
 
kwa jinsi escrow ilivyoshupaliwa na wabunge huku wakisakamwa watu wawili tu waliokwishatoautiana na wafanyabiashara
kama mengi huhitaji kujiuliza maswali kuwa wameonewa


kwanza nimeanza kupata shaka na wanasiasa wetu hasa wapinzani niliowaamini.sikudhani kama wanaweza kurubuniwa na mengi na hata kama ajenda ilikuwa ni kuiona serikali ya ccm ikianguka basi wangekazana na wahusika wenyewe badala ya kudeal na innocents kama muhongo,maswi,t n.k.
 
Tatzo muhongo alikuwa sahih ktk njia isiyo sahih, usahih ktk alichokua anafuatilia, makosa ktk kauli na dharau zake!
 
mwenzako zitto alikuwa anapiga anapiga siasa halafu na wewe umemeza kama yalivyo aibu yako wanasiasa uchwara watawapeleka kubaya mwaka huu ila kiukweli hata mimi naungana na wote wanaopenda muhongo abaki.

Ni kawaida kwa Watanzania kufanyia ushabiki kila jambo, ndio maana hapo nyumbani mambo hayaendi na maisha yanazidi kuwa ghali. Mmefanyia ushabiki suala la Katiba Mpya, mmefanyia ushabiki utendaji wa kipuuzi wa serikali, kisa eti wale chama cha upinzani na ninyi ni CCM, hivyo wala sishangai kuona wewe na wenzako mnatetea majizi.
Ova
 
Siasa chafu zinawakatisha tamaa wasomi wazalendo kama akina Prof.Muhongo kulitumikia taifa hili.
 
Toka Bunge limalize kazi yake juu ya Escrow kumekuwa na mijadala mizito hasa humu Jf huku wengi wakimtetea Waziri wa Nishati na Madini Prof Muhongo kwamba anasakamwa na baadhi ya watu wenye maslahi binafsi. Sasa kwa wale mliofanikiwa kusoma vizuri taarifa ya CAG na kupitia ile ya PAC na mjadala wa bungeni. Tuwekeeni makosa ya mh Prof Mhongo na wale mnaoamini hana makosa toeni utetezi. Kama hujaelewa vema suala la Escrow usichangie usichojua. Karibuni wajuzi.

Mkuu mkaribishe Muhongo aongee na wafadhili wake kina Habinder Singh Seth wamsaidie, siye wa upeo wa juisi hatumuwezi!
 
mengi mwizi tu wa mali zetu halafu anajifanya kula chakula na albino anafunika maovu yake kibao huyu mzee mbaya sana.

Mkuu wewe toa live madhambi ya Mengi na maGT hawatamsamehe
Lakini msitutoe katika target ya kumuwajibisha Profesa Mwongo
Pengine angepata sympathy ya wazalendo lakini kwa dharau alisha sema ni wa upeo wa juisi siye.

Sasa awaite wafadhili wake walioko nje.
Msaidieni katika hili.
Wengine tunaoandika humu ni Form 4 failures kama Ole Sendeka.
 
Hakuna chuki hapa, kwahiyo nikimtetea kama unavyotaka ndio utaona nimesema vyema? Mengi ni nani katika nchi hii hadi aweze kusababisha waziri afukuzwe?

Huyu bwama muhongo amejipambanua na kujigamba kuwamba ni Booonge la profesa, sasa profesa gani anaruhusu Taifa lipate hasara kubwa kiasi hicho?

Pamoja na kuwa pengine hela nyingi wamepata yeye na Mama Tibaijuka; wamejivika aibu, wamewavika WANAOJIITA wasomi wenzao aibu, wamelivika taifa aibu na Bara zima la Afrika

Wasomi gani badala ya kubuni mradi utakaowafanya wawe mabilionea kwa akili zao mfano wa waliotengeneza simu za mkononi, vifaa tiba, madawa ya ebola na kadhalika, wao wanaanda mpango wa kuwaibia wananchi maskini halafu unataka tuwasifu.

Wewe wasifu na kuwatetea upendavyo lakini usilazimishe kila mtu awe na mtazamo huo

Alijigamba ana kontena la document za Iptl, mbona hakuziwasilisha sasa, madharau yake pia yalimponza
 
Soma the citizen la leo page no 9 Kuna mtu kamchambua vilivyo Muhongo. Sasa ninajua nyie watu mnaomtetea ni watu wa aina gani ,ni aidha mmetumwa kwa malipo au ni "Wasomi "wa aina yake.
 
Makosa ya Prof ni kulidanganya Bunge kwa kusema fedha za ESCROW si za Umma, na kauli hii iliirudia mara kadhaa, ninaamini kwa kuwa sakata hili ni la muda na limejitokeza Bungeni mara kadhaa hivyo Viongozi wote waliohusika walikuwa wakikutana na kujadili suala hili na maelezo ya Prof kung'ang'ania kauli yake ni dhahiri ilikuwa kutii kiapo chake cha kutokutoa siri. na ndio sababu niionayo mimi AG alisema atasimama na wote waliofuata ushauri wake. Binafsi hilo ndilo nilionalo kosa lake kutii kiapo kwenye hamna. Ama kwa upande wa pili naona anasakamwa na wivu, chuki naye kwa jinsi alivyoweza kuwanyima wafanyabiashara mwanya wa kujitwalia rasilimali zetu kwa manufaa yao binafsi, pia ile kujiamini kupita kiasi kupelekea kuwapa makuvu live baadhi yao na baadhi ya wanasiasa wanaotumiwa na wafanyabiashara hao. Lakini kwa utendaji kazi ndani ya wizara tangu wizara hii ianzishwe ame-transform mambo mengi ya wizara kulko mawaziri waliomtangulia.

Kweli umenena!

Kama waziri alisema kile alichoamini maana hata report ya CAG had inconclusive wording kuonyesha fedha ya serkali,IPTL na kodi
 
Soma the citizen la leo page no 9 Kuna mtu kamchambua vilivyo Muhongo. Sasa ninajua nyie watu mnaomtetea ni watu wa aina gani ,ni aidha mmetumwa kwa malipo au ni "Wasomi "wa aina yake.

sidhani kama tatizo ni prof.muhongo bali ni muundo mzima wa serikali na uendeshaji wake, sielewi katika sakata lote gavana wa bot hatajwi na ndiko pesa zilikuwa zimehifadhiwa. hapa kuna watu wamelipwa kuchafua watu.
 
Soma the citizen la leo page no 9 Kuna mtu kamchambua vilivyo Muhongo. Sasa ninajua nyie watu mnaomtetea ni watu wa aina gani ,ni aidha mmetumwa kwa malipo au ni "Wasomi "wa aina yake.

Pinno wewe mburula kabisa wa bifu iliyopo kati ya Muhongo na Mengi

Si Leo Mengi akianzisha league na kupewa za USO anatumia magazeti na radio zake kuchafua adui zake
 
Back
Top Bottom